Ewe kijana wa kitanzania hakuna njia ya mkato kwenye hili

hahahahaaa nilikuwa nacheka sana nilivyokuwa daslamu na kuona watu ndani ya suti nikasema kweli hii tanzania mpya
hasa wakila pozi na suti zao na tatizo kubwa sisi vijana wa karne hii tunapenda maisha ya kianasa mno na kupata kwa urahisi tunatakiwa tuelewe na tutambue hamna maisha mazuri yanakuja kiurahisi kama unafanya kazi fanya kweli kama unasoma soma kweli cha msingi tujali muda na tuelewe wapi tunapotaka kwenda
 
Yani watu wengn bhn yani picha za kuedit na masuti zinawaponza wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…