Ewe Kiongozi Mwandamizi wana Yanga SC 'wameshakushtukia' kuwa ndiyo umemuuza Feitoto Azam FC hivyo waombe radhi yaishe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
GENTAMYCINE nasisitiza Kwako kuwa acha Kuwazuga kwa kujifanya kuwa Unaumia na Umekereka sana na Dogo Fei kufanya aliyoyafanya.

Kwa Taarifa yako tu ni kwamba kuna Masheikh kutoka Zanzibar wameitwa kwa Kazi Maalum juu yako kwa Usaliti uliowafanyia halafu sasa Unawasanifu tu wakati wameshakushtukia.

Na aliyekuponza ni Dereva wako ambaye nae ni mwana Yanga SC Mwenzako ambaye Mpango mzima aliuona na ndiyo Kawataarifu Wazee wa Yanga SC na baadhi ya Wanachama Waandamizi.

Mfano Jana (Jumanne) ulikaa nao Matajiri wa Meli Bahari ya Hindi na Ice Cream ili Kufanikisha Deal kisha haraka Dogo Fei akamimbizwa Zanzibar na nina Taarifa ambazo GENTAMYCINE namalizia Kuzithibitisha kuwa Dogo Fei (Kimya Kimya) ameondoka nchini na hayuko.

Mwenzako Dili la Morrison lingemtokea Puani kwani licha ya Kujificha ila baadae alijulikana ni Yeye alimuuza Simba SC na isingekuwa Busara za Mzee wenu wa Mahakama ya Mananasi Tanzania Kumuombea Msamaha kwakuwa wako karibu kupitia Mwanae Kipenzi hivi sasa angeshakuwa Mwendawazimu/Taahira kabisa.

Kama utaenda Zanzibar hivi karibuni tafadhali Nisalimie sana Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi ambaye huwa unaonana nae mara kwa mara na mwambie GENTAMYCINE namkubali mno na natamani hata 2025 aje huku Mainland na atoke huko Isles aliko sasa.
 
unajua moja ya kipaji ulichonacho ni kubuni riwaya
 
Halafu huu upopoma wako wa kutunga ndiyo umekupa eti ushindi kwenye hili jukwaa la michezo!! Ila walio kupendekeza, wametudharau sana aisee.
Nasikia wewe ndio ulimpigia kura ya kwanza kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mimi niliweka msimamo wangu mapema kabisa wa kususia hilo zoezi la upigaji kura. Hivyo sikumpigia yeyote.
 
Waombe Uongozi wa JamiiForums nishindanishwe nawe Nyangau Mmoja katika Shindano lolote hapa JamiiForums uone kama Utashinda au Utanishinda sawa?
Wewe utanishinda kwenye upopoma tu. Nje ya hapo, wewe ni mtoto mdogo sana kwangu.
 
Hii nchi ya ajabu sana inawezekanaje kiongozi wa timu akauza mchezaji peke yake??

Na kwani kuhama timu ni kosa la jinai??
Unadhani mchezaji anauzwa na wanachama wote?
 
Hii nchi ya ajabu sana inawezekanaje kiongozi wa timu akauza mchezaji peke yake??

Na kwani kuhama timu ni kosa la jinai??
Fei aliletwa uto na mr zotonia akitokea singida utd enzi hizo uto walikuwa hoi bin taaban na atakae muuza fei ni mr zotonia
D90465D0-0477-4F3D-81BD-FB4CC1BE7A3A.jpeg
 
Ea
Hii nchi ya ajabu sana inawezekanaje kiongozi wa timu akauza mchezaji peke yake??

Na kwani kuhama timu ni kosa la jinai??
Hizi timu Kuna waswahili wanaamini ni Mali Yao.Huzitegemea kuishi mjini ,kwenye usajili 10/%, Kupeleka wachezaji na timu kwa waganga, nk. Hata wale wenzao wamefanikiwa kumgoa barabara aliyekuwa kikeazo kwao kupata fedha za wachezaji, kamati ya uchawi na marupurupi mengine.Halafu hawana timu hao waswahili, unamkuta huyohuyo kwa Siri yupo timu zote akipata Dili la kumuuza mchezaji anamnywa
 
Back
Top Bottom