Ewe Lissu, wana Ikungi hatujakutuma hayo

Mungu amewaumbua wauweni wapinzani wote uwezo mnao mnaogopa nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mwana Ikungi pure kabisa simuoni Lisu akijenga vyoo kama anayofanya Sugu Mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe sifa ya mbunge ni kujenga vyoo? Karne ya 21 unazungumzia habari za mbunge kujenga vyoo Sugu anafanya kitu ambacho kimeshanzishwa na wananchi ili kuziba midomo ya wapinzani wa hovyo kama ninyi.
.
Nchi inataka kuwa na uchumi wa kati kama EGYPT alafu unazungumzia habari za mbunge kujenga vyoo embu kajitafakari
 
Salamu Tanzania kila uchwao hujawai kosa jipya.

Lissu akienda kweny harakat za kupigania haki za binadamu bado utasema hafai kuwa mwanaharakati.....nafikiri utashauri awe mwana harakati wa haki za mimea.
 
Mleta mada leo ni mwana ikungi,juzi mwana Arusha kwa Lema,mtondogoo ni mwana Iringa kwa Msigwa!
Hahahahaaa,unaweza kuleta hoja bila kusingizia uongo!
 
We si mwanaikingu mmoja kati ya wahuni wa lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Lisu akiitukana serikali ,kutetea mabeberu na kuichafua nchi ,ndiyo itakuwa ya uchumi wa kati kama Egypt??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndaa ya njou mnaumia sana.
Lissu ni rais ajaye
 
Unasema Lissu anafaa kuwa mwanaharakati wa haki za binaadamu! Wewe huyohuyo anapopigania haki za binaadamu unasema uchochezi! Mbona haueleweki? Pia wewe si mwanaikungi, umetumwa na nani? Mbona Lissu aliposhambuliwa haukuonekana kusikitishwa na tukio hilo?
 
Ww kama hata Mia wanakupa kwa kazi hii basi wanakula hasara sana. Kweli CCM Ina vichwa nimeamini
 
Hata Jiwe hatukumtuma akafanye haya anayoyafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…