Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,294
- 10,970
- Thread starter
- #81
We ni moja ya malofa yanayorudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu .Kwanza, Sasa huyo Lissu kabla hajawa mbunge hapo, huko nyuma mliwahi kuwa na wabunge wangapi halafu wao waliwasaidiaje kimaendeleo..
Pili, ni kipi cha maendeleo walicholeta hao wabunge waliotangulia ambacho Lissu amekibomoa.
Tatu, Lissu amerudia ubunge akiwa chama cha upinzani kitu ambacho kwa mazingira halisi ya nchi hii sio rahisi, sasa kama ni wa hivyo amewezaje kuchaguliwa mara mbili mfululizo?
Nne, ni kwa vipi unatarajia mtu ambaye hakusanyi kodi yoyote akuletee maendeleo pale ambapo wameshindwa hata wale wanaokusanya kodi, majimbo yao na ya Lissu hayatofautiani kimaendeleo. Angalia hata Chattle ilivyo.
Tano, kama kweli ni mbunge wako, (Although I doubt it) unaonaje, mtu amenusurika kifo na kutelekezwa na bunge/serikali na hata hujui anatibiwaje huko aliko, hivi hata dhamira yako tu haikusuti kumshutumu mtu aliye ktk hali kama hiyo, wewe maendeleo yako tu ndio "Paramount" kuliko "Welfare" ya huyo unayemtegemea akuletee hayo maendeleo....very dismaying indeed.
Sita, nchi hii ni kubwa na ina viongozi wengi ktk positions mbali mbali, sasa hata hao nao bila shaka wameshindwa kuleta maendeleo na ndio maana nchi yetu bado ni masikini sana duniani, sasa huko kote nako ni Lissu ndio amezuia maendeleo yasipatikane???
Mwisho, kama kweli wewe ni wa hapo Singida, unaonaje ukitumia ukaribu wenu na mkoa wa Dodoma kuomba basi hata upelekwe hapo Mirembe Psychiatric Hospital ili wakufanyie "Mental Health Evaluation" so as to determine the exact psychiatric case that you may be having. Haingii akilini kwamba umeiandaa hii post ukiwa ktk a normal sound of mind. Strictly NO.
Kwa maelezo yako mbungu Sungu anapozunguka jimbo zima akigawa mifuko ya cement ,kuchimba vyoo huwa anatoa wapi hela ?
Muda mwingine nyie malofa nuwe mnakaa na kujipima siyo kutetea ujinga ili mradi tu huo ujinga umefanywa na mmeo Lisu
Sent using Jamii Forums mobile app