Ewe Lissu, wana Ikungi hatujakutuma hayo

Ewe Lissu, wana Ikungi hatujakutuma hayo

HATOSHI KWA CHOCHOTE ZAIDI YA UCHOCHEZI:

Lissu ni mtu ambae ukifatilia uwezo wake wa kuwasaidia wananchi kimaendeleo hawezi kabisa lakini kuwachochea na kuwapandikizia chuki dhidi ya serikali anaweza asilimia mia kokote duniani.

Yule dogo (Tundu Lissu) bado hajapona na anahitaji maombi zaidi ili ukichaa umtoke kichwani mwake.
 
Kwa hiyo Mbunge Sugu anafanya makosa kushinda jimboni akijenga vyoo na kugawa cement kila kata?

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee wewe sio mzima kabisa.. Hahahaaa.. Kila mbunge anapewa Mil 100 kuzitumia jimboni na zinaangaliwa na CAG. Zile pesa zinatumika hata Mbunge asipokuwepo. Katibu wake anaweza zitumia vilivyo.

Sasa kama ww uko Mbeya tuu huwezi kujua ya Ikungi hata kidogo mbaka wawaite Millard Ayo labda watafute kiki.
 
Kama sikosei Lissu kachaguliwa zaidi ya mara tatu au mara nne.
Ni wazi wananchi jimboni make wanamkubali.
Labda mleta uzi huu anataka kugombea ubunge 2020 lakini Lissu atawania uraisi wa jamhuri ya Tanzania.
 
Mbona Acacia na mabeberu wengine anaweza kuwasemea shida zao akiwa hapo kitandani?

Sent using Jamii Forums mobile app
1.Hivi aliepitisha sheria na mikataba mibovu ya madini ni nani vile?
2.Kwa hiyo aliewasemea mabeberu ni nani vile?
Kujitoa fahamu kwenu hakutawasafisha wala kuwa wauwaji hakutawasaidia.
Dhambi hiyo ni yenu tangu mlipoingia ubia na shetani. na itaendelea kuwaganda kama kivuli, mpaka hapo mtakapotubu na kumrudia Mungu.
Yohana Mbatizaji alikatwa kichwa kwa kumwambia 'mfalme mzinzi' ukweli. Sio ajabu hata leo. Amen.

Kumbe kazi ya Lisu ni kutetea mikataba mibovu kwa kuwa hakuipitisha yeye basi lzm aitetee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe kazi ya Lisu ni kutetea mikataba mibovu kwa kuwa hakuipitisha yeye basi lzm aitetee?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kujitoa kwako fahamu hakutakusaidia kitu ndg.
Kwani mmebadilika nini, lini?
Angalia korosho nayo yaleyale. Lissu alijaribu kuwapa shule ya namna salama zaidi ya kujitoa kutoka kwenye mitego mliyoingia huku mkishangilia. Mungu wa haki atamsafisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HATOSHI KWA CHOCHOTE ZAIDI YA UCHOCHEZI:

Lissu ni mtu ambae ukifatilia uwezo wake wa kuwasaidia wananchi kimaendeleo hawezi kabisa lakini kuwachochea na kuwapandikizia chuki dhidi ya serikali anaweza

Amekuwa tangu mwanzo akiwatetea wananchi wake na kila wakati mnamuweka ndani kwa kesi ambazo hajawahi kukutwa na hatia na baadaye akashambuliwa na wale wasiojulikana, sasa muache afanye anachoona yeye kuwa ni sahihi maana muda aliokuwa hapa akiwatetea wananchi mlimuona siyo chochote. MUACHE!
 
Back
Top Bottom