Ewe Lissu, wana Ikungi hatujakutuma hayo

HATOSHI KWA CHOCHOTE ZAIDI YA UCHOCHEZI:

Lissu ni mtu ambae ukifatilia uwezo wake wa kuwasaidia wananchi kimaendeleo hawezi kabisa lakini kuwachochea na kuwapandikizia chuki dhidi ya serikali anaweza asilimia mia kokote duniani.

Alipewa kura za ubunge ili awaletee wananchi maendeleo kule Singida lakini akarudi kwenye asili yake ya uchochezi na kujikuta kazi yake kubwa ni kuichokonoa serikali bila kujali ni nini alitumwa na wananchi.

Tangu awe mbunge kazi yake ni kusema mabaya tu kuhusu serikali huku akiwa hajui kero sahihi za wananchi wake Singida anayebisha aseme kawafanyia nini cha maana Singida.?? Hata siku moja huwezi kumsikia Lisu akizungumzia kero za wananchi wake.!

Kinachomuondoa kwenye ubora au kinachompoteza kwenye ubora ni kwamba "Hatoshi kuwa kiongozi" maana alikuwa bora katika harakati za haki za binadamu lakini alipopewa uongozi akapoteza ubora kwa kukosa hoja kabisa na akawa mtu wa kujadili matukio na ikumbukwe kiongozi mwenye uwezo wa kujadili sana matukio ni virahisi pia kutengeneza matukio ili apate sapoti ya wananchi kuyajadili.

Kiongozi hutumia hoja kufanya maendeleo huku mwanaharakati akiwa ni mtu wa matukio tu bila kuwa na hoja za kuwaletea wananchi maendeleo.

Mwisho Lissu hafai kuwa kiongozi ila anafaa kuwa mwanaharakati wa haki za binaadamu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwache Mungu aitwe Mungu pia acha siasa ambazo unaweza pokea malipo kwa Mungu na sio mwanadamu

We piga kelele, ukojoe ulale ila tambua panapo uhai na kama Lissu ataamua agombee urais hata kwa kupitia PPT Maendeleo, basi kura yangu anayo

#tipwatipwa tentemente mwanawani#
 
Jiandae kuandika ya majuu , maana ziara za ulaya kuanzia very soon ya ikungi haya kuhusu .
 
Mimi ni mpiga kura wa Tundu Lisu lazima nimsema kama hatimizi ahadi zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ushamba wako kwani hujui kuwa majimbo ya upinzani hukomolewa na Utawala huu kwa kuminya makusudi kuyapelekea maendeleo wakizani wanawakomoa Wapinzani, mbona jimboni kwa Ndungai, msukuma, kibajaji wabunge vinara wa Umbea wana CCM chama tawala hakuna maendeleo majimboni kwao?
 
HATOSHI KWA CHOCHOTE ZAIDI YA UCHOCHEZI:

Alipewa kura za ubunge ili awaletee wananchi maendeleo kule Singida lakini akarudi kwenye asili yake ya uchochezi na kujikuta kazi yake kubwa ni kuichokonoa serikali bila kujali ni nini alitumwa na wananchi.

Acha ujinga wewe. Kasome katiba ya nchi.
Kazi ya mbunge sio kuwaletea maendeleo wanannchi BALI kuiambia serikali nini wana Ikungi wanataka na kuisimamia serikali kuhakikisha inafanya kwa mujibu wa sheria.
Mbunge hakusanyi kodi ataletaje maendeleo? Unataka kusema fedha za maendeleo ya jimbo Mil 100 ndo inatosha?
Acha ujinga bana HALAFU unajiita mwanaIKUNGI huku unatumia third party personation. Acha uzoba bana hii ni Great Thinker's swimming pool tusipotezeane muda
 
Mkiwa mnaomba kura huwa mnawaambia wananchi kwamba sitawaletea maendeleo siyo kazi yangu mimi mbunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ushamba wako kwani hujui kuwa majimbo ya upinzani hukomolewa na Utawala huu kwa kuminya makusudi kuyapelekea maendeleo wakizani wanawakomoa Wapinzani, mbona jimboni kwa Ndungai, msukuma, kibajaji wabunge vinara wa Umbea wana CCM chama tawala hakuna maendeleo majimboni kwao?
Mbona mbunge Sugu ni wa upinzani lakini anapeleka maendeleo jimboni kwake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HATOSHI KWA CHOCHOTE ZAIDI YA UCHOCHEZI:

Lissu ni mtu ambae ukifatilia uwezo wake wa kuwasaidia wananchi kimaendeleo hawezi kabisa lakini kuwachochea na kuwapandikizia chuki dhidi ya serikali anaweza asilimia mia kokote duniani.

Alipewa kura za ubunge ili awaletee wananchi maendeleo kule Singida lakini akarudi kwenye asili yake ya uchochezi na kujikuta kazi yake kubwa ni kuichokonoa serikali bila kujali ni nini alitumwa na wananchi.

Tangu awe mbunge kazi yake ni kusema mabaya tu kuhusu serikali huku akiwa hajui kero sahihi za wananchi wake Singida anayebisha aseme kawafanyia nini cha maana Singida.?? Hata siku moja huwezi kumsikia Lisu akizungumzia kero za wananchi wake.!

Kinachomuondoa kwenye ubora au kinachompoteza kwenye ubora ni kwamba "Hatoshi kuwa kiongozi" maana alikuwa bora katika harakati za haki za binadamu lakini alipopewa uongozi akapoteza ubora kwa kukosa hoja kabisa na akawa mtu wa kujadili matukio na ikumbukwe kiongozi mwenye uwezo wa kujadili sana matukio ni virahisi pia kutengeneza matukio ili apate sapoti ya wananchi kuyajadili.

Kiongozi hutumia hoja kufanya maendeleo huku mwanaharakati akiwa ni mtu wa matukio tu bila kuwa na hoja za kuwaletea wananchi maendeleo.

Mwisho Lissu hafai kuwa kiongozi ila anafaa kuwa mwanaharakati wa haki za binaadamu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma kwa hamu niwaone hawa wananchi wa Ikungi walikutana wapi, wangapi, siku gani walikutana na kumjadili Mhe Lissu na wewe ukateuliwa kuwa mwandishi wa minitisi na kupewa jukumu la kuandika uzi huu. Lini mawazo yako yakawa ya wanaikungi? Wewe sema mawazo yako kwa maana ni haki yako ya msingi. Wewe huna dhamana ya kuwasemea wana Ikungi.
 
Back
Top Bottom