Ewe Mume, msaidizi wako anakutafuta

Status
Not open for further replies.
Je na wanaume wanaosema single mum hawafai koz hawachelewi kurudiana na baba wa mtoto unawaambiaje?
 
Usichokijua ni hiyo haki sawa ndo imezalisha wanaume wa aina hiyo
 
Kweli hapa umepiga knock out na kwa kuanzia na walio lalamikia hilo
 
Mkuu tatizo anae tafuta hajui anatafuta nini hili ndio tatizo angejua lazima angeweka baadhi ya vigezo vya msingi sio hivi alivyo weka
 
Duuuh kupanga ni kuchagua
 
Je na wanaume wanaosema single mum hawafai koz hawachelewi kurudiana na baba wa mtoto unawaambiaje?

Hata hao pia hawafai hivi kwanini wadisapoint kupitia vitu visivyo na msingi kuzaa na mtu sio kigezo kabisa et cha kurudiana na mtu wake isipokua kutakua na connection km wazaz japo wengine hutumia chance km hiyo kuendeleza mahusiano, ila ni ukosefu wa akili yaan ushaachana na mtu af bado uendelee nae ilihali unaona hawez kuishi na ww zaid ya kukugonga tuu..... en tusikatishe mahusiano ya mtoto na mzaz wake kiufupi pia
 
Usichokijua ni hiyo haki sawa ndo imezalisha wanaume wa aina hiyo
Na hiyo imetokana na baadhi ya wanaume wajinga kuwanyanyasa wake zao sana vile watakavyo kwa kile kinachodaiwa ni kutokana na kutokuwa na uwezo wa kuingiza kipato ndani ya familia ambacho hawezi jivunia.
 
Punguza mwaka mmoja tuyajenge alafu wewe unataka mwenye degree wakati huo huo wewe una degree na kazi huna hapo umeniacha hoi
 
Mungu ni mwema atakup hitaji lako..all the best
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…