chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
sasa mbona unataka mwenye kazi au ulimtafutia wewemmmh kudanganya itanisaidia nini sasa wakati ni kweli sina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa mbona unataka mwenye kazi au ulimtafutia wewemmmh kudanganya itanisaidia nini sasa wakati ni kweli sina.
Hajuwi hata maana ya mwanamke golikipa?!😳🙄😕sasa mbona unataka mwenye kazi au ulimtafutia wewe
Je na wanaume wanaosema single mum hawafai koz hawachelewi kurudiana na baba wa mtoto unawaambiaje?Bora useme na ww hawa ndio hujikuta wanakutana na maprofessa fulani na kuishia kuliwa tu maana hivyo vigezo hawezi kupata mtu humu zaid af nachukia sana wanaowatenga watoto wetu kwa kigezo tutarudiana na wanawake tulio nao wakat mwingine hawajui kila mtu ana msimamo wake ktk mapenz tukiacha tunaacha mazima
Usichokijua ni hiyo haki sawa ndo imezalisha wanaume wa aina hiyoDada yuko sahihi anahitaji mme mwenye kazi ili aweze kumjali na kumtunzia familia yake, ninyi mnataka na mwanamke naye awe na kazi nani anayepaswa kupambana na majukumu ya kifamilia kama baba?
Baadhi ya wanaume wa siku hizi sijui mmekuwaje, tambueni nafasi zenu kama wanaume kwenye familia ndo maana na wanawake nao wanataka haki sawa kwa sababu ya uwepo wa wanaume wa aina hii.
Kweli hapa umepiga knock out na kwa kuanzia na walio lalamikia hilonaelewa ndio kuna wanaume hawana elimu na wana maisha mazuri na wana mapenzi kuliko hata hao wenye elimu, na siishi kwa kufikiri tu kuwa wenye elimu ndo wenye maisha mazuri na mapenzi, maana wapo wengi tu wana elimu na maisha yao yapo yapo tuu, maana kama ingekua hivyo mi pia ningekuwa na maisha mazuri kupitia hako ka elimu.
Ila jamani maisha ni kuchagua, mara nyingine kuwa na mtu umemzidi elimu nayo ni changamoto pia unamkuta mtu anatumianguvu nyingii kujionyesha kuwa yeye ni mwanaume kisa tu anahisi unaweza uka mdharau kisa umemzidi elimu tu, kumbe wala unamheshimu na kutambua nafasi yake kama mwanaume.
Mkuu tatizo anae tafuta hajui anatafuta nini hili ndio tatizo angejua lazima angeweka baadhi ya vigezo vya msingi sio hivi alivyo wekaBora useme na ww hawa ndio hujikuta wanakutana na maprofessa fulani na kuishia kuliwa tu maana hivyo vigezo hawezi kupata mtu humu zaid af nachukia sana wanaowatenga watoto wetu kwa kigezo tutarudiana na wanawake tulio nao wakat mwingine hawajui kila mtu ana msimamo wake ktk mapenz tukiacha tunaacha mazima
Duuuh kupanga ni kuchaguanaelewa ndio kuna wanaume hawana elimu na wana maisha mazuri na wana mapenzi kuliko hata hao wenye elimu, na siishi kwa kufikiri tu kuwa wenye elimu ndo wenye maisha mazuri na mapenzi, maana wapo wengi tu wana elimu na maisha yao yapo yapo tuu, maana kama ingekua hivyo mi pia ningekuwa na maisha mazuri kupitia hako ka elimu.
Ila jamani maisha ni kuchagua, mara nyingine kuwa na mtu umemzidi elimu nayo ni changamoto pia unamkuta mtu anatumianguvu nyingii kujionyesha kuwa yeye ni mwanaume kisa tu anahisi unaweza uka mdharau kisa umemzidi elimu tu, kumbe wala unamheshimu na kutambua nafasi yake kama mwanaume.
Je na wanaume wanaosema single mum hawafai koz hawachelewi kurudiana na baba wa mtoto unawaambiaje?
Na hiyo imetokana na baadhi ya wanaume wajinga kuwanyanyasa wake zao sana vile watakavyo kwa kile kinachodaiwa ni kutokana na kutokuwa na uwezo wa kuingiza kipato ndani ya familia ambacho hawezi jivunia.Usichokijua ni hiyo haki sawa ndo imezalisha wanaume wa aina hiyo
Umekosea sana kusema kazi huna,heri ungedanganya!
Hahaha...aisee jomba huwa unachekesha na some of ua replies!Ww mbona hujaolewa na aliyekutoa bikra?
Haha kama nakuona vileUmekosea sana kusema kazi huna,heri ungedanganya!
Mungu ni mwema atakup hitaji lako..all the bestHabarini za muda wapendwa?
Kama Mungu alivyosema "si vyema mtu huyu akawa peke yake bali nitamfanyia msaidizi"
Natafuta mume mwenye hitaji la msaidizi (mke).
wasifu wangu:
umri: miaka 25
dini: mkristo
makazi: Arusha
elimu: Degree
kazi: sina
rangi: maji ya kunde
urefu: futi 5.5
mwili: mwembamba
mtoto: sina
wasifu wa nimtakaye:
umri: 28-35
dini: mkristo
kazi: awenayo
elimu: degree na kuendelea
asiwe na mtoto
Kwa mwenye uhitaji na aliye serious karibu PM tufahamiane zaidi.