Ewe Mume, msaidizi wako anakutafuta

Status
Not open for further replies.
Wewe kazi huna ila unayemtaka unataka awe nayo.

Sasa kama wewe huna kazi unadhani huyo unayemtaka yeye kazi atapata wapi??
Eti awe na kazi ww unayo? Umri umeenda huo atakayekuja yoyote ww beba acha vigezo vya kijinga, Eti asiwe na mtoto unampangia na kuzaa, mwanaume hapagiwi kuzaa
 
Bado picha...... Weka na picha kukamilisha CV yako
 
Nayo utapeli...kazi mnayo https://jamii.app/JFUserGuide off certificate
 
Yeye kazi awenayo wakati wewe kazi huna?
 
Mtoto-sina,kazi-sina
Mume: kazi-awenayo, mtoto-asiwenaye

Kila la kheri jombaa
 
Hampashi viporo sio??
 
Sifa zote nipo nazo,ila elimu yangu la saba.Nimejiajiri katika ujasiliamali na kutoa ajira kwa watu wengine.Vp nina sifa za kuja pm?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…