Ewe Mume, msaidizi wako anakutafuta

Ewe Mume, msaidizi wako anakutafuta

Status
Not open for further replies.
Wewe kazi huna ila unayemtaka unataka awe nayo.

Sasa kama wewe huna kazi unadhani huyo unayemtaka yeye kazi atapata wapi??
Eti awe na kazi ww unayo? Umri umeenda huo atakayekuja yoyote ww beba acha vigezo vya kijinga, Eti asiwe na mtoto unampangia na kuzaa, mwanaume hapagiwi kuzaa
 
Habarini za muda wapendwa?
Kama Mungu alivyosema "si vyema mtu huyu akawa peke yake bali nitamfanyia msaidizi"

Natafuta mume mwenye hitaji la msaidizi (mke).

wasifu wangu:
umri: miaka 25
dini: mkristo
makazi: Arusha
elimu: Degree
kazi: sina
rangi: maji ya kunde
urefu: futi 5.5
mwili: mwembamba
mtoto: sina

wasifu wa nimtakaye:
umri: 28-35
dini: mkristo
kazi: awenayo
elimu: degree na kuendelea
asiwe na mtoto

Kwa mwenye uhitaji na aliye serious karibu PM tufahamiane zaidi.
Bado picha...... Weka na picha kukamilisha CV yako
 
Nayo utapeli...kazi mnayo https://jamii.app/JFUserGuide off certificate
 
Yeye kazi awenayo wakati wewe kazi huna?
 
Mtoto-sina,kazi-sina
Mume: kazi-awenayo, mtoto-asiwenaye

Kila la kheri jombaa
 
Bora useme na ww hawa ndio hujikuta wanakutana na maprofessa fulani na kuishia kuliwa tu maana hivyo vigezo hawezi kupata mtu humu zaid af nachukia sana wanaowatenga watoto wetu kwa kigezo tutarudiana na wanawake tulio nao wakat mwingine hawajui kila mtu ana msimamo wake ktk mapenz tukiacha tunaacha mazima
Hampashi viporo sio??
 
Habarini za muda wapendwa?
Kama Mungu alivyosema "si vyema mtu huyu akawa peke yake bali nitamfanyia msaidizi"

Natafuta mume mwenye hitaji la msaidizi (mke).

wasifu wangu:
umri: miaka 25
dini: mkristo
makazi: Arusha
elimu: Degree
kazi: sina
rangi: maji ya kunde
urefu: futi 5.5
mwili: mwembamba
mtoto: sina

wasifu wa nimtakaye:
umri: 28-35
dini: mkristo
kazi: awenayo
elimu: degree na kuendelea
asiwe na mtoto

Kwa mwenye uhitaji na aliye serious karibu PM tufahamiane zaidi.
Sifa zote nipo nazo,ila elimu yangu la saba.Nimejiajiri katika ujasiliamali na kutoa ajira kwa watu wengine.Vp nina sifa za kuja pm?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom