Ewe Mume, msaidizi wako anakutafuta

Ewe Mume, msaidizi wako anakutafuta

Status
Not open for further replies.

Mi Cielo

Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
10
Reaction score
15
Habarini za muda wapendwa?
Kama Mungu alivyosema "si vyema mtu huyu akawa peke yake bali nitamfanyia msaidizi"

Natafuta mume mwenye hitaji la msaidizi (mke).

wasifu wangu:
umri: miaka 25
dini: mkristo
makazi: Arusha
elimu: Degree
kazi: sina
rangi: maji ya kunde
urefu: futi 5.5
mwili: mwembamba
mtoto: sina

wasifu wa nimtakaye:
umri: 28-35
dini: mkristo
kazi: awenayo
elimu: degree na kuendelea
asiwe na mtoto

Kwa mwenye uhitaji na aliye serious karibu PM tufahamiane zaidi.
 
Last edited:
Yaani wewe huna kazi halafu mimi niwe nakazi, huu niunyanyasaji kabisa.
 
Kama kupata kazi rahis ungekuwa nayo na wewe..!
 
Aisee, mi nipo Arusha kabisaaaa tna Jengo refu refuuu(NSSNiaje apa) Florida sema tu sina miaka 28 labda tuwe marafiki.. hahahah
 
Mhhhh sawa sijaona swala la kupima afya hapo umekimbilia kutokuwa na watoto tu na kazi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom