Ewe Mwana SAUT Wa 2006 Hadi 2009 Tafadhali JITOKEZE Tukutane hapa (Mega thread)

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kichwa Cha Habari KIMEJITOSHELEZA KULIKOTUKUKA. Kama Unajijua Kuwa Ulisoma SAUT Miaka Hiyo TAJWA Hapo Juu Tafadhali Jitokeze Hapa Kwa ID Yako Ya Humu JF Ili Tutambuane Na Tuweze Kutengeneza Whatssap Group Letu Kwani Binafsi NIMEPOTEZANA Mno Na Wanafunzi Wenzangu Ambao Nilitokea KUWAPENDA Na KUSHIRIKIANA Nao Kwa Hali Na Mali Iwe Katika Shida Na Raha. Poleni Sana Wana Darasa Wenzangu Wa BAMC 2006 - 2009 Kwa Msiba Mkubwa Wa Mwenzetu Dada Salome Gregory ALIYETUTOKA Hivi Majuzi Huko Jijini Mwanza Kama Sijakosea. Huu Sasa Nadhani Umekuwa Ni Msiba Wetu Mkubwa Wa Tatu Baada Ya Ule Wa Dada Yetu Kipenzi Silivia Mwanjonde Mwaka 2009 Kilichotokea Mwezi Mmoja Tu Tuelekee Kuhitimu Na Wa Kijana Mwenzetu Kaka Yetu Brian Aliyekuwa Ni Raia Wa Kenya Aliyetutoka Mwaka 2008.

Nitashukuru Sana Kama Tutatambuana Kupitia UZI Huu Kisha Tufanye Utaratibu Mwingine Wa Kuanza Kutuunganisha ILA Nimewamisi Mno.

Karibuni....................." We Build The City Of God "..............Long Live SAUT.
 

Can u build the city of God?!! doto biteko the presida of SAUT
 

2005_2008
 
2007-2010, fawasco :car:

Ulivyotaja Tu FAWASCO Nimemkumbuka Dr. Aidan Msafiri Mzee Wa Madongo Darasani Na Sasa Nabaki KUCHEKA Tu Mkuu. Nimefurahi Kujua Kuwa Kumbe Na Wewe Ni Mwana SAUT Mwenzangu Japo Umeshindwa KUNIAMKIA Kaka Yako Kwani Nilikuacha Mwaka Mmoja ( I am Just Kidding Never Mind ). Pamoja Sana coscated.
 
Last edited by a moderator:
Vipi wa baso mbwembwe na eduche bila kusahau contena la mchina wao hawaruhusiwi?
 
2005_2008

Ebhana Nyie Darasa Lenu Sitalisahau Kwani MLIKUWA MNAJUA SANA KUCHEZA MPIRA Na MLIKUWA Mna Jamaa Mmoja Fundi Kwelikweli Wa Kucheza Mpira Victor Japo Na Sisi Pia Tulikuwa Na Fundi Wetu Jackson a.k.a Viera. Ilikuwa Burudani Tupu Enzi Hizo. Huyu Victor Na Jackson Kama Wangetaka Kuendelea Na Kucheza Mpira Najua Sasa Hivi Wangekuwa FC Barcelona Na Real Madrid.
 

shkamoo kaka tufanye namna hilo kundi liundwe.
 
Last edited by a moderator:
Vipi wa baso mbwembwe na eduche bila kusahau contena la mchina wao hawaruhusiwi?

Karibuni Japo Kama Wewe Ulikuwa EDUCHE Nakushauri Mtafute Comrade Wangu Mzee Wa Kuongoza Migomo SAUT Mheshimiwa Sasa Wa CHADEMA Na Naambiwa Mbunge Anayesubiri Tu KUAPISHWA John Heche Awatengenezee Whatssap Group Lenu Ili Mpigane Vizuri Bakora Na Nyie Watu Wa BASO Mnaoongoza Kwa Kuwa MASHAROBALO SAUT Nzima Tafuteni Wadau Wenu Kwani Kwa UBISHOO Wenu ULIOTUKUKA Hatutawaweza Ng'o! Nafurahi Sana Hivi Ninavyo Chat Na Wana SAUT Wenzangu Na NIMEPAKUMBUKA Mno SAUT Mwanza Sasa. Akhsanteni.
 



Nimemiss mbwembwe za Fawasco na Pro Life. Baso wakifunga mziki, PR wakiwa na kikundi cha Ngoma.

Mitaa ya Nyamalango mpaka Darfur kiumeni.

Watu mmeacha watoto wenu wengi mliozaa na wananzengo.
 

Mimi SAUT napakumbuka kwa chakula cha bure siku ile ya sauti day (wengine tuliita kitima day) alaf mara nyingi bum aka tirdo ilikua imeshakata na borne fire
 
Nimemiss mbwembwe za Fawasco na Pro Life. Baso wakifunga mziki, PR wakiwa na kikundi cha Ngoma.

Mitaa ya Nyamalango mpaka Darfur kiumeni.

Watu mmeacha watoto wenu wengi mliozaa na wananzengo.

Mkuu na luchelele unapakumbuka kweli
 
Nimemiss mbwembwe za Fawasco na Pro Life. Baso wakifunga mziki, PR wakiwa na kikundi cha Ngoma.

Mitaa ya Nyamalango mpaka Darfur kiumeni.

Watu mmeacha watoto wenu wengi mliozaa na wananzengo.



Uliposema Tu Darfur NIMEKUMBUKA Mengi Na NIMEFURAHI KULIKOTUKUKA Kwani Ndiyo Hostel MNYAMA...MATHEMATICIAN.....Gentamycine NILIKUWA NAISHI Humo Kwa Miaka Yangu Yote Mitatu Ya SAUT Ila Kumbukumbu Yangu Kubwa Ni Ya Yule Hostel Attendant Wetu Kaka Zawadi Alivyokuwa MSHIKAJI Kwetu Lakini Kubwa Zaidi Ni Ule UVAMIZI Wa WALE MAJAMBAZI Ambapo Nakumbuka Kuna Mdau Wangu Mmoja Baraka a.k.a Bonge Sasa Yupo Stanbic Aliingia UVUNGUNI Mwa Kitanda Bila Kujitambua Ili Ajifiche Na MAJAMBAZI Yale Yalipoondoka Tu Akawa Anaomba Msaada Twende Tukanyanyue Kitanda Ili Atoke. Tulishangaa Sana Na Kucheka Huku Tukiwa Na Majeraha Ya Mabapa Ya Mapanga Ya Wanazengo. Kuhusu Kuacha Watoto Sikubishii Mkuu Kwani Tumewaacha Akina Gentamycine Juniors Wengi Sana Na Nakumbuka Kipindi Kile Nikiwa Natongoza Totooz Za Pale Nsumba, Malimbe, Nyamalango, Kona Baa Hadi Mkolani Nilikuwa Nikiyatumia Mno Majina Ya Isaac Gamba Na Maulid Kitenge Katika Kutongozea Na Hakika NILIWEZA KUNG'OA MIZIGO Sana. Nikikumbuka Vituko Vya SAUT Nabaki Kuvunjika Mbavu Tu Mkuu.
 

Kama miaka yote umeishi darfur sikuwezi.. ile hostel haikua adilifu kwa maisha ya ustaarab
 

kumbe umexoma kwa vilaza
 
Mkuu na chereche unapakumbuka kweli

Nimecheka sana, nimekumbuka mbali, lakini nilimaliza 2005 malimbe. Naikumbuka Luchelele na sio chereche-ni kitambo. Nimekumbuka daladala zikitufuata kwenda disco ijumaa-Dilux, cku moja tukabambwa na kitima, tulipita njia ya seminari, tukakuta mzee anatusubiri main campus-geti dogo, ili kuwa balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…