GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kichwa Cha Habari KIMEJITOSHELEZA KULIKOTUKUKA. Kama Unajijua Kuwa Ulisoma SAUT Miaka Hiyo TAJWA Hapo Juu Tafadhali Jitokeze Hapa Kwa ID Yako Ya Humu JF Ili Tutambuane Na Tuweze Kutengeneza Whatssap Group Letu Kwani Binafsi NIMEPOTEZANA Mno Na Wanafunzi Wenzangu Ambao Nilitokea KUWAPENDA Na KUSHIRIKIANA Nao Kwa Hali Na Mali Iwe Katika Shida Na Raha. Poleni Sana Wana Darasa Wenzangu Wa BAMC 2006 - 2009 Kwa Msiba Mkubwa Wa Mwenzetu Dada Salome Gregory ALIYETUTOKA Hivi Majuzi Huko Jijini Mwanza Kama Sijakosea. Huu Sasa Nadhani Umekuwa Ni Msiba Wetu Mkubwa Wa Tatu Baada Ya Ule Wa Dada Yetu Kipenzi Silivia Mwanjonde Mwaka 2009 Kilichotokea Mwezi Mmoja Tu Tuelekee Kuhitimu Na Wa Kijana Mwenzetu Kaka Yetu Brian Aliyekuwa Ni Raia Wa Kenya Aliyetutoka Mwaka 2008.
Nitashukuru Sana Kama Tutatambuana Kupitia UZI Huu Kisha Tufanye Utaratibu Mwingine Wa Kuanza Kutuunganisha ILA Nimewamisi Mno.
Karibuni....................." We Build The City Of God "..............Long Live SAUT.