GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mimi hakyanani nimempania sana huyu Member aitwae SAGAI GALGANO, kwani anatuchukia mno sisi wana Yanga SC, na kila siku ni lazima tu aanzishe nyuzi za kuisema tu vibaya Yanga SC yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwana Yanga SC Mwenzangu hebu nawe mtaje uliyempania na ambaye atakukoma Leo Yanga SC yetu ikifuzu Makundi kwa Kumfunga Al Hilal FC Kwake Jijini Omdurman nchini Sudan.Mbona kama unajihami?
Siku ukigundua kuwa huyo Mshana Jr si mchawi bali ni mtekaji akili za wapumbavu kwa kauli ya "wajinga ndiyo waliwao" ndipo utajua kuwa hujui [emoji23]Mshana Jr huyu member shabiki wa Simba kawapa mbinu Al hilal jinsi ya kuzuia uchawi tunaotumia sisi Yanga wa ushindi kipindi cha pili.
nina hakika leo Yanga hatutopata hata goli moja kwasababu uchawi wetu haitofua dafu kwa Al hilal. sababu ni huyu Mshana Jr
Mungu mbariki mzee Mpili,Mungu mbariki Mandonga ntu kazi.
hapa tupo kwenye utani wa jadi Simba Vs Yaga. wewe wa wapi,Namtumbo,Kibirizi au Magu Masanza kona?Siku ukigundua kuwa huyo Mshana Jr si mchawi bali ni mtekaji akili za wapumbavu kwa kauli ya "wajinga ndiyo waliwao" ndipo utajua kuwa hujui [emoji23]
Nashukuru uliyemtaja hapa ni aliyeiiga ID yangu ili Kusafiria Nyota yangu Kali hapa JamiiForums GENTAMYCIME na siyo Mimi GENTAMYCINE niliyejiunga hapa JamiiForums Mwezi July mwaka 2013 tofauti na huyu Mpuuzi aliyeiiga ID yangu aliyejiunga mwaka huu huu 2022 na hivi Karibuni.MINOCYCLINE pamoja na kaka yake GENTAMYCIME
sikiliza wewe bwege, ifike hatua uache shobo nami, hivi kuna sehemu mimi nimewahi kukutaja taja kama unavyofanya wewe mara kwa mara?Nashukuru uliyemtaja hapa ni aliyeiiga ID yangu ili Kusafiria Nyota yangu Kali hapa JamiiForums GENTAMYCIME na siyo Mimi GENTAMYCINE niliyejiunga hapa JamiiForums Mwezi July mwaka 2013 tofauti na huyu Mpuuzi aliyeiiga ID yangu aliyejiunga mwaka huu huu 2022 na hivi Karibuni.
Pumbavu baada ya Kuiga ID yangu ili Usafirie Nyota yangu Kali yenye 'Natural Charm' hapa JamiiForums mbona hujaiiga na Signature yangu pendwa na kuweka Picha ya Netanyahu katika Avatar yako ili Kuniiga Kwako Kukamilike na Wewe uonekane ndiyo Mimi kisha uwe Maarufu na Gumzo Kubwa?sikiliza wewe bwege, ifike hatua uache shobo nami, hivi kuna sehemu mimi nimewahi kukutaja taja kama unavyofanya wewe mara kwa mara?
huna lolote wewe wali nazi tuu, halafu haya majina tuu hamna aliyekuiga wala nini, usidhani kila mtu ni kama mmeoPumbavu baada ya Kuiga ID yangu ili Usafirie Nyota yangu Kali yenye 'Natural Charm' hapa JamiiForums mbona hujaiiga na Signature yangu pendwa na kuweka Picha ya Netanyahu katika Avatar yako ili Kuniiga Kwako Kukamilike na Wewe uonekane ndiyo Mimi kisha uwe Maarufu na Gumzo Kubwa?
Ukimaliza Kuniiga vyote hivi upesi sana nitafute GENTAMYCINE ili nikupe na IQ yangu Kubwa iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu nayo uwe nayo kwani hiyo ndiyo inanipa Jeuri na kunifanya niwe na Maarifa mengi na Uwasilishaji wangu wa Kimvuto na Kuvutia kwa Wasomaji.
Jitahidi sana nawe pia uweze Kuvutia Followers hapa JamiiForums kwani mpaka sasa Mimi unayeniiga ninao 117+ na hawa ukiwa Mpumbavu as you're hawawezi Kukufolo.
Imeisha hiyo.....!!!!!!
Naona kwa Kujibizana nami leo ID yako itapata Umaarufu kwani GENTAMYCINE ni Daraja la kuwapa Watu Promo. Usijali nitajitahidi ujulikane na ujadiliwe kama Mimi sawa?huna lolote wewe wali nazi tuu, halafu haya majina tuu hamna aliyekuiga wala nini, usidhani kila mtu ni kama mmeo
wewe una umaarufu gani kinondo tu wewe, endelea kujiongopeaNaona kwa Kujibizana nami leo ID yako itapata Umaarufu kwani GENTAMYCINE ni Daraja la kuwapa Watu Promo. Usijali nitajitahidi ujulikane na ujadiliwe kama Mimi sawa?
Najadiliwa katika Vipindi mbalimbali vya Redio, nafuatiliwa na Wakubwa ( VIP's ) wengi, Maandiko yangu hapa JamiiForums yanatumika katika Magazeti na Mitandao ya Bloggers wa Tanzania, Naaminika Kiuchambuzi wa Masuala Mtambuka, Nakubalika mno JamiiForums mpaka Wengine ( kama Wewe mnaniiga ) na kutamani nanyi muwe kama Mimi GENTAMYCINE, nimeshapongezwa tena kwa kutajwa na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dk. Wilbroad Slaa, nafuatiliwa na Wakuu wote wa Sekta Nyeti za nchi JWTZ na TISS mpaka Kujadiliwa katika Vikao vyao na nina Utajiri mkubwa wa Followers ( tena Great Thinkers ) wa hapa JamiiForums wapatao 117+.wewe una umaarufu gani kinondo tu wewe, endelea kujiongopea