Najadiliwa katika Vipindi mbalimbali vya Redio, nafuatiliwa na Wakubwa ( VIP's ) wengi, Maandiko yangu hapa JamiiForums yanatumika katika Magazeti na Mitandao ya Bloggers wa Tanzania, Naaminika Kiuchambuzi wa Masuala Mtambuka, Nakubalika mno JamiiForums mpaka Wengine ( kama Wewe mnaniiga ) na kutamani nanyi muwe kama Mimi GENTAMYCINE, nimeshapongezwa tena kwa kutajwa na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dk. Wilbroad Slaa, nafuatiliwa na Wakuu wote wa Sekta Nyeti za nchi JWTZ na TISS mpaka Kujadiliwa katika Vikao vyao na nina Utajiri mkubwa wa Followers ( tena Great Thinkers ) wa hapa JamiiForums wapatao 117+.
Je, kwa yote haya unadhani sistahili kuwa na Kiburi, Nyodo na Jeuri zote juu yako Juha Mmoja Wewe?
Nasubiri nawe uniorodheshee Mafanikio yako hapa JamiiForums kwa hii iD yako ya Kuniiga ya GENTAMYCIME sawa?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' na kamwe hakuna wa Kujifananisha wala Kujilinganisha nami Kudadadeki.