Ni kweli Mkuu, mimi mwenyewe nilikuwa nasumbuliwa na mishipa ya damu kwenye shingo ilikuwa inauma balaa, baadaye shingo nalo likakaza. Nikaambiwa na Daktari nitafute sehemu yenye Massage Center nikaitafuta na kwa bahati nikaipata. Nilifanyiwa massage na huyo Mtaalam (Wa kike) yaani hadi leo sijaumwa tena. Hiyo ilikuwa mwaka 2020.