youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
- Thread starter
- #21
Ngoja waje wahusika bila shaka umejitoa sadaka kwa ajili ya mapovu ya wadada wa kusiniWenye tabia ya kujichubua hivyo mara nyingi ni makabira ya kusini wakija dar wanawehuka hivyo asilimia yahn anajichubua usoni mweupe kuanzia shingoni kushuka chini ni shidah...
Vyote havifai kujichubua kuna madhara na kuongeza chura pia kuna madhara...tujifunze kulizika na tulochojaaliwa na mungu hakuna namna..