Majina haya ni mabaya n yanatweza utu wa mwanamke lkn yamepakwa nakshi kuyafanya yaonekane mazuri. Kamwe wanawake msiyakubali na msikubali kuingia kwenye makundi yenye majina haya.
Ifuatayo ni tafsiri ya kila jina kwa mujibu wa tafutishi za Sexless unit :-
1. Lishangazi ni kahaba aliyezeeka. Yaani umri wa mwanamamke umeenda lkn bado anatembeza nyapu.
2. Superwoman ni mwanamke ambaye ndoa imemshinda, kaamua kuishi peke yake, na anachukia wanaume.
3. Singo mama ni mwanamke (hususani binti) ambaye ni kiruka njia (mdangaji) kazalishwa kabla ya ndoa. Kwa asili hana adabu na hakufunzwa na mamaye, sasa kafunzwa na mabaharia.
4. Mpambanaji huyu ni mwanamke mdangaji alieamua kutumia k yake kama kitega uchumi. Ana kabiashara uchwara ka kuzugia lkn maisha yake yote yanategemea mabwana anaowachuna. Kwahiyo upambanaji wanaosema ni WA kutafuta mabwana siyo (waume).
Makundi yote haya yanaepukika, chaguo ni lako.