Na siku wakijulikana sasa na wanaowaamini si inakuwa hatari sana eeIla ni wazuri maana wanaheshimu sana mahusiano yao kwa kutotaka wajulikane.
Na siku wakijulikana sasa na wanaowaamini si inakuwa hatari sana ee
[emoji3][emoji3][emoji3]duhNa maboyfriend wa watu
Agggr me siwapendi kwakweliHapana huwa wana akili sana watu wa hivi na ni rahisi sana kushawishi mtu na akaendelea kumwamini.
[emoji3][emoji3][emoji3]Dah dunia hii basi tu.
Bora hao wanaoficha kuliko wenye kukuonesha hadharani (ni kama amekudharau)Agggr me siwapendi kwakweli
Nawapenda sana nyie.
Siwapendi wote basi [emoji53][emoji53]Bora hao wanaoficha kuliko wenye kukuonesha hadharani (ni kama amekudharau)
Siwapendi wote basi [emoji53][emoji53]
Unamaanisha kuna hata wanawake mapopomaOoohh wapo hata mapopoma[emoji847]
[emoji23] [emoji23] Wewe ni mke wa mtuWapo wake za watu pia ila wanawake wenye familia ni vigumu sana kuwakuta mtandaoni.
Nenda jukwaa LA michezo umepotea njia...😀😀Leo Bocing Day, Francis Cheka na Dula Mbabe wanapanda ulingoni. Na Arsenal tunafumua mtu saa mbili.
Na maboyfriend wa watu
AmnaaaaUnacheka nini?
Hahahaa mkuu ni assumption tu ila kama ni kweli basi tafuta mtu wa kumuonesha uaminifu wako ili uepukane na matatizo ya stress..Duuhh mkuu nashindwa niandike nini kwa hii kauli yako Ila kwa uaminifu namshukuru Mungu.. Niko vizurii
HahahahaWapo wake za watu pia ila wanawake wenye familia ni vigumu sana kuwakuta mtandaoni.
Waliopo single utakuta ni under 20
Sasa huyo si kama mwanangu kabisa?!
Hawa matured ni already taken wanatumia advantage ya jf itakuwa ngumu kunaswa na mwenzi wake
Tofauti na wale anaokutana nao kwenye mazingira yake!
Huku pia tunaishi kwa fairy tales anakuaminisha mambo ya uongo kibao
Huku ni kuelewana tu show moja ya kibabe then kila mtu na mambo yake
[emoji3][emoji3][emoji3]sijasemaHata mimi hunipendi?
Hahahaha, asee ,kumbe huwa hivi
Mimi nitakuwa mwema.[emoji3][emoji3][emoji3]sijasema
Kwani wewe hufanyeje?