Ewe Mwanamke Wa JF, Ukipata Mwanaume JF Jua ndio Mwanaume Bora Tanzania

Ewe Mwanamke Wa JF, Ukipata Mwanaume JF Jua ndio Mwanaume Bora Tanzania

Hapana huwa wana akili sana watu wa hivi na ni rahisi sana kushawishi mtu na akaendelea kumwamini.

[emoji3][emoji3][emoji3]Dah dunia hii basi tu.
Na siku wakijulikana sasa na wanaowaamini si inakuwa hatari sana ee
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Na maboyfriend wa watu

Waliopo single utakuta ni under 20
Sasa huyo si kama mwanangu kabisa?!

Hawa matured ni already taken wanatumia advantage ya jf itakuwa ngumu kunaswa na mwenzi wake
Tofauti na wale anaokutana nao kwenye mazingira yake!

Huku pia tunaishi kwa fairy tales anakuaminisha mambo ya uongo kibao

Huku ni kuelewana tu show moja ya kibabe then kila mtu na mambo yake
 
Duuhh mkuu nashindwa niandike nini kwa hii kauli yako Ila kwa uaminifu namshukuru Mungu.. Niko vizurii
Hahahaa mkuu ni assumption tu ila kama ni kweli basi tafuta mtu wa kumuonesha uaminifu wako ili uepukane na matatizo ya stress..
 
Hahahaha, asee ,kumbe huwa hivi

Back
Top Bottom