Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Ndio hivyoUnamaanisha kuna hata wanawake mapopoma
Mkuu,Waliopo single utakuta ni under 20
Sasa huyo si kama mwanangu kabisa?!
Hawa matured ni already taken wanatumia advantage ya jf itakuwa ngumu kunaswa na mwenzi wake
Tofauti na wale anaokutana nao kwenye mazingira yake!
Huku pia tunaishi kwa fairy tales anakuaminisha mambo ya uongo kibao
Huku ni kuelewana tu show moja ya kibabe then kila mtu na mambo yake
AminaMimi nitakuwa mwema.
Asante kwa kuniamini.Amina
Kaka umenisusa kabisa yanMarahaba mtoto mdogo...
Kumbe mbayaa weweWoooo! Mimi nilipata mmoja humu wiki haikuisha nikamtwanga kichwa akaenda kuchukua RB.
KaribuuAsante kwa kuniamini.
Bado jamaniii mchango ebu nichangieVipi lakini program ya kukata tumbo imefikia wapi? Unaona mabadiliko yoyote?
UsijaliSorry shunie its just we are aving funy, so it was jokes tu, hata sakayo namuita kichwa panzi tho she knows simaanishi, ngoja niifute
Maandiko yako mangi tehHhahaahaa
Sijakuelewa We mtoto!!
Aya vumilie vipi?
Kwani huku wanapatika eenhWewe bado hujapataga huku bado?
Mmmhhhhhh. Jamani japo kidogo tupate heshimaaaTena ndo wengi
Bora ambavyo hamuambiwi. Mnapenda sana kudanganywa. Mkiambiwa matatizo makubwa zaidiMtuambie kabisa ni waume za watu
Tumechoka kudanganywa
HahahaaUnajua ukiona Mwanaume JF jua ni mtu mwenye uwezo mpana sana.
Ofcoz wachache ndo wazinguaji ila asilimia kubwa ni Gentleman.
Hivyo, ewe dada, ukipata Dume huku au ukiona kuna dume linakuhitaji jua huyo nfo mwanaume kamili.
Haijalishi hana ela, gari au hata sura, ila kitendo cha yeye kuwepo humu jua ni Real Man.
This is home of great thinkers!!
Usichezee bahati.
Nije nikiwa mpole au.Karibuu
[emoji4][emoji4][emoji4]Kumbe mbayaa wewe
50/50Nije nikiwa mpole au.
Niwe nakupiga au?50/50
Unaongea na mimi au unaongea na simu?kama hujawekaga sredi love connect, basi inakuja.😉😉