Ewe Mwanamke Wa JF, Ukipata Mwanaume JF Jua ndio Mwanaume Bora Tanzania

Ewe Mwanamke Wa JF, Ukipata Mwanaume JF Jua ndio Mwanaume Bora Tanzania

Waliopo single utakuta ni under 20
Sasa huyo si kama mwanangu kabisa?!

Hawa matured ni already taken wanatumia advantage ya jf itakuwa ngumu kunaswa na mwenzi wake
Tofauti na wale anaokutana nao kwenye mazingira yake!

Huku pia tunaishi kwa fairy tales anakuaminisha mambo ya uongo kibao

Huku ni kuelewana tu show moja ya kibabe then kila mtu na mambo yake
Mkuu,

Kwa mtazamo wangu, watu wa huku ni wajanja sanaaa....

Yani wamezidi wale wasiwopo humu kwa asilimia fulani...

"Nimekuelewa hapo kwenye show ya Kibabe [emoji39]"
 
Unajua ukiona Mwanaume JF jua ni mtu mwenye uwezo mpana sana.
Ofcoz wachache ndo wazinguaji ila asilimia kubwa ni Gentleman.

Hivyo, ewe dada, ukipata Dume huku au ukiona kuna dume linakuhitaji jua huyo nfo mwanaume kamili.

Haijalishi hana ela, gari au hata sura, ila kitendo cha yeye kuwepo humu jua ni Real Man.

This is home of great thinkers!!

Usichezee bahati.
Hahahaa
 
Msiwe wanasiasa. Jamii forums ni app. Watu wako kwenye mitaa tunayoishi na hakuna hata mtu mmoja na haitakuja kutoakea mru kuishi ndani ya hii app.
 
Back
Top Bottom