Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
AiseeeeKaka uchaguzi wenyewe wanaiba kuta wacha tu tule hizo futari Kwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeeeKaka uchaguzi wenyewe wanaiba kuta wacha tu tule hizo futari Kwa sasa
Nenda mahakamani!Hangaya kaanza kampeni miaka miwili iliyopita, bado vitu vya ndani tu kuweka Picha zake, vya nje vyote tayari kaweka
Bismillah Rahman Raheem.
Mwaka wa Uchaguzi umefika na Mwezi wa Ramadhan ushawadia, leo tuko Chungu cha pili.
Sasa kama mjuavyo kwa miaka ya sasa kila jambo ni fursa, mtaalikwa kila mahali na kwa watu hata wasio Waislam ili mradi wawavuteni ili muwachague.
Kuweni Makini na Allah Subhannah akuepusheni na futari za Michongo ili msiifakamie laana .
Usije sema hatukukuambia
Wabhillah Tawfiq
Futari ya kampeni ndiyo fut,, tari gani thawabu anatoa Mungu kwahiyo wewe usiangalie aliye kufuturisha wewe jiangalie wewe mwenyewe kuwa upo safi? Kila mtu atahukumiwa yeye kamaa yeye wana Mungu hatahukumu kwa kundi fulani. Wewe futuru bora tu asikupe masharti ya kumkufuru Mungu.Bismillah Rahman Raheem.
Mwaka wa Uchaguzi umefika na Mwezi wa Ramadhan ushawadia, leo tuko Chungu cha pili.
Sasa kama mjuavyo kwa miaka ya sasa kila jambo ni fursa, mtaalikwa kila mahali na kwa watu hata wasio Waislam ili mradi wawavuteni ili muwachague.
Kuweni Makini na Allah Subhannah akuepusheni na futari za Michongo ili msiifakamie laana .
Usije sema hatukukuambia
Wabhillah Tawfiq
Hapo ndipo mnapokesea enyi ndugu zetu katika Imani. Kufakamia chochote hata kilichotoka Kwa majambazi yanayoua waja wa Mnyezi MunguFutari ya kampeni ndiyo fut,, tari gani thawabu anatoa Mungu kwahiyo wewe usiangalie aliye kufuturisha wewe jiangalie wewe mwenyewe kuwa upo safi? Kila mtu atahukumiwa yeye kamaa yeye wana Mungu hatahukumu kwa kundi fulani. Wewe futuru bora tu asikupe masharti ya kumkufuru Mungu.
Kimuingiacho mtu haswa chakula hakiwezi kumtia mtu unajisi ila kimtokacho ndio kubwa lao la kumtia mtu unajisi.Watu wagonge futari sana sana .kinachowasumbua watanzania 90% ni ROHO MBAYA, CHUKI na WIVU hawa ndio maadui wapya wa nchiBismillah Rahman Raheem.
Mwaka wa Uchaguzi umefika na Mwezi wa Ramadhan ushawadia, leo tuko Chungu cha pili.
Sasa kama mjuavyo kwa miaka ya sasa kila jambo ni fursa, mtaalikwa kila mahali na kwa watu hata wasio Waislam ili mradi wawavuteni ili muwachague.
Kuweni Makini na Allah Subhannah akuepusheni na futari za Michongo ili msiifakamie laana .
Usije sema hatukukuambia
Wabhillah Tawfiq
Huyu analeta siasa kwenye mambo ambayo hana ufahamu nayoKimuingiacho mtu haswa chakula haiwezi kumtia mtu unajisi ila kimtokacho ndio kubwa lao la kumtia mtu unajisi.Watu wagonge futari sana sana
Wana njaa na bado wakashindwa kumuelewa Hashim Rungwe mzee wa ubwabwaNa wanachi walivyo na njaa cjui km watakuelewa
🤣 🤣 🤣 🔊Futari tutakula tu mkuu lakini kura zangu zote zinakwenda Chadema
AmenLeo umezungumza mkuu, na hata wanao futurisha kwa kutafta umaarufu ili wapendwe zaidi na jamii kwa ajili ya Chaguzi nao watalaamiwa vibaya .
Kwahiyo hata kitimoto ruksa?Kimuingiacho mtu haswa chakula hakiwezi kumtia mtu unajisi ila kimtokacho ndio kubwa lao la kumtia mtu unajisi.Watu wagonge futari sana sana .kinachowasumbua watanzania 90% ni ROHO MBAYA, CHUKI na WIVU hawa ndio maadui wapya wa nchi
Sasa mbona wakiapa wanashika vitabu vya diniAcha kuchanganya dini na siasa.
Kwani kuna atakayetangaza kuwa ni futari ya kampeni?!Je nayo Itakuwa ya Kampeni?
Kwani kampeni zimeanza?
Acha kuchanganya dini na siasa.