The Coin Man
Senior Member
- Jan 2, 2025
- 156
- 167
Futari za mchongo .Futari na mama .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachawi utawajua tu kwa matendo yao
Futari za mchongo zilivyotamu sijui kama tutakusikilizaBismillah Rahman Raheem.
Mwaka wa Uchaguzi umefika na Mwezi wa Ramadhan ushawadia, leo tuko Chungu cha pili.
Sasa kama mjuavyo kwa miaka ya sasa kila jambo ni fursa, mtaalikwa kila mahali na kwa watu hata wasio Waislam ili mradi wawavuteni ili muwachague.
Kuweni Makini na Allah Subhannah akuepusheni na futari za Michongo ili msiifakamie laana .
Usije sema hatukukuambia
Wabhillah Tawfiq
Jiandaeni kuipokea laanaFutari za mchongo zilivyotamu sijui kama tutakusikiliza