Aisee ni dhahiri kabisa alimwe maana kwa zile nyuzi zake za kuita wanawake vikaragosi alikosea sana kwa kweli.Moderator hawana huruma dah
Lakini huyu Kanye west mpya akiendelea kama hivi alivyokuja itapendeza
Niliona tu kwenye ule uzi wangu kule nikajua kabisa huyu ni yuleee
Ila sasa huyu Kanye west hana dhamana
Si kukupenda bali kukubali upendo wake kwake na kurudisha kwa kukuridhisha zaidi
Wanawake wanapenda for real KWA DHATI precisely wanajua wanachokipenda hawabahatishi,akikupenda amekupenda KWELI ,kwa kiwango kikubwa kuliko wanaume(EMOTIONS zipo juu KWA wanawake)
wanaume wanatamani.TAMAA Kali sana kama ya MNYAMA ubwa 🐶 kwa kiwango kikubwa kuliko wanawake wanavyotamani wanaume.
Mara nyingi mnawapenda watu wasiowapenda wala kuwa na hisia na ninyi.wanawake wanajua wanachokitaka hawabahatishi wanajua wanayempenda AKIPENDA AMEPENDA..when a woman love...she love for real(R.kellys).
Mara nyingi mnawapenda watu wasiowapenda wala kuwa na hisia na ninyi.
Na huo ndiyo mtihani mwenyezi Mungu alituwekea binadamu.
Watu walishasema na hakusikia mimi ni nani ni maisha yake aliyochaguaAisee ni dhahiri kabisa alimwe maana kwa zile nyuzi zake za kuita wanawake vikaragosi alikosea sana kwa kweli.
Binafsi ni wakati wa mimi kuweza kufuta uchafu na makosa yake yote aliyokwisha kuyafanya wakati anatumikia kifungo chake.
Je, Unge penda kutoa neno gani kwake ili aweze kujitambua na kutokuwa na ego mbaya ya kudhihaki wengine na kujiona kuwa yeye ni wa maana?
Mapenzi/mahusiano huwa yana expireOA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
Mkuu binafsi naona kila kiumbe kiko sawa tu,Wanawake wanapenda for real KWA DHATI precisely wanajua wanachokipenda hawabahatishi,akikupenda amekupenda KWELI ,kwa kiwango kikubwa kuliko wanaume(EMOTIONS zipo juu KWA wanawake)
wanaume wanatamani.TAMAA Kali sana kama ya MNYAMA ubwa 🐶 kwa kiwango kikubwa kuliko wanawake wanavyotamani wanaume.
Binti wa zamani ni msumbufu sana, eti na yeye anasema kuwa mimi ni chiwawa? 😂Sawa, ila Hujanishawishi kumuweka mbali Binti wa Zamani, Sema roho ya kweka ni 😔😔
11Baki kwenye mada,
Hili ni bandiko muhimu sana kwa manufaa ya wanaume na taifa kwa ujumla.
Kwakweli maana de Gunner alisema kuwa huwa anafanya haya just for fun. Na hakuna mtu anataka amuumize ila watu wanaishia kuwa triggered sana. Na alisema ya kuwa wewe pia ni mmoja wao, eti matani kidogo tu unaanza kulia lia kama mtoto.Watu walishasema na hakusikia mimi ni nani ni maisha yake aliyochagua
Japo inaonekana kuna situation anapitia lakini angejaribu kua na mipaka tu na kujifurahisha kwake isiwe kero kwa wengine
Your bestieBandiko zuri Kanye west 👍
Mshamjua kumbe,Utajiju de gunner