Ewe mwanaume usikubali kuendeshwa na mwanamke.

Sema JF wakatili sana ...

Wamefanya de gunner kafanya surgery kama Vin Jr
 
Sema JF wakatili sana ...

Wamefanya de gunner kafanya surgery kama Vin Jr
Naskia alikuwa anawashambulia mpaka mods kwa kufuta nyuzi zake za kuwasema wanawake wa jf... Aisee.
 
Mimi ni mmoja wao
Ila nasikitika sana kwa sababu hakuniangalia kwa jicho la upendo akaishia kupandisha bipolar na kusema ni miongoni mwa vikaragosi woiiiiiii πŸ˜…πŸ˜…

Angetuwekea kwanza pic yake tupate kulinganisha basi
Ila ndio hivyo huwezi ku deal na mwenye maumivu maana hana cha kupoteza

Mimi utani napenda mnoo ila uwe ndani ya mipaka

Karibu Kanye west jukwaani tuendelee kujadili na kujifunza kukosoana kwa hoja πŸͺ‘
 
Naskia alikuwa anawashambulia mpaka mods kwa kufuta nyuzi zake za kuwasema wanawake wa jf... Aisee.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

Sema unayajua mabandiko yako,
Hapo unawavutia upepo tu,wakikaa vibaya unaruka nao... baada ya siku mbili unakuja na code mpya.
 
Mimi ni mmoja wao
Ila nasikitika sana kwa sababu hakuniangalia kwa jicho la upendo akaishia kupandisha bipolar na kusema ni miongoni mwa vikaragosi woiiiiiii πŸ˜…πŸ˜…
Hahaha pole sana kwa Kadhia hiyo iliyo kukumba mrembo, ila jua tu de Gunner huyafanya yote yale kwa ajili ya fun, maisha halisi hawezi kabisa kufanyia mtu mwingine, hata ubavu wa kutukana mtu haha kabisa.
Angetuwekea kwanza pis yake tupate kulinganisha basi
Ila ndio hivyo huwezi ku deal na mwenye maumivu maana hana cha kupoteza
Hahaha, aisee yule anachekesha sana, ukute ana pisi mama Amina akasome!
Mimi utani napenda mnoo ila uwe ndani ya mipaka

Karibu Kanye west jukwaani tuendelee kujadili na kujifunza kukosoana kwa hoja πŸͺ‘
Sasa kumbe wewe wapenda matani,

Sasa rafiki, matani hayawezi kuwa matani yasipo vuka mipaka, sema kuvuka zaidi nayo ni mbaya. Kweli yawezekana de Gunner alizidisha sio kwa kupingwa na kila mtu

Asante sana, na ni naahidi kuwa mshirika mzuri na kumsafisha de Gunner kwa uchafu mbaya alio Wacha hapa jukwaani.

Asante.
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

Sema unayajua mabandiko yako,
Hapo unawavutia upepo tu,wakikaa vibaya unaruka nao... baada ya siku mbili unakuja na code mpya.
Mkuu,

Unajua fika kabisa mimi siye huyo unaye mzungumzia japo pia mimi sio mgeni.

Ila katika pitapita zangu jukwaani nilikuwa naona jinsi de Gunner alivyokuwa akipeleka mashbulizi mabaya kwa wadada wa jamiiforums aisee, ni kheri alichapwa ban ya miezi 6 kabisa
 
Muda utasema πŸ“Œ
 
Hajui wewe huna rafiki
Mtu akikusogelea lazima utamchafua tu
Ana jizima data
Hahaha
De gunner ni kweli alikuwa na tabia mbaya ya kuwafanya watu wachafuke, ila haikuwa intention yake mama, drama na attention ndo vilivyo muweka mjini. Ila kanituma nije nifute kabisa tabia ile chafu.

Mimi Nitakuwa muwakilishi mwema na Nita hakikisha ban yake ya miezi 6 inafanya kuwa mtu bora kabisa humu jukwaani
 
πŸ˜… Unaanzaje ?
Wewe Binti wa zamani ni kati ya wachache miompelekea moto de Gunner mpaka kufikia hatua ya kuwa mtu mbaya jukwaani na kuanza kudhihaki wanawake wote na kuwaita vikaragosi🀣

Ni wakati sahihi wa yeye kufocus katika mambo productive ili akifanikiwa mje mumpigie magoti kwa vilio vya kumtaka kisa kafanikiwa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…