Ewe mwanaume usinunue ng'ombe Kijiji ulichotoka

Shing Yui wakiume Mimi demu wangu kasema ili tuendelee na mahusiano itabidi niwe Nampa 50,000 Kila mwezi,,nikaona huu ufala nikakataa, amesema tuachane na saivi hapokei simu Wala hajibu message,,hii inakaaje wakuu??
 
Kamua ng'ombe vizuri kabla hajaenda kunywa maji ili mmiliki wa zamani akitaka kukamua akute na masalia ya majimaji yako ya kulainishia chuchu naye apate protini.
 
wakuu Mimi demu wangu kasema ili tuendelee na mahusiano itabidi niwe Nampa 50,000 Kila mwezi,,nikaona huu ufala nikakataa, amesema tuachane na saivi hapokei simu Wala hajibu message,,hii inakaaje wakuu??
 
Elewa ng'ombe tafadhali😁😁😁
 
Ng'ombe sio ng'ombe ieleweke hivyo
 
Haujawahi kufuga ng'ombe wewe.

Kabla ya kuanza kufuga, anza na kuku kwanza kujenga uzoefu.

Hakuna ng'ombe wa namna hiyo duniani.

Process za ng'ombe kukamuliwa, ni lazima umtenganishe na ndama wake ili maziwa yajae kwenye 'kiwele' na anatakiwa kuchungwa!

Sasa dhahama za mmiliki wa zamani zitafanyikaje wakati akiwa chini ya uangalizi wa mchungaji?

Tusichoshane bhana, kama ni mafumbo unayaleta kwa uwazi namna hiyo, kawafumbie wajinga kama kanuni inavyotaka.
 
Wewe umekua wa mfano sasa,.. mkuu ulioa nyumba ya jirani na hapohapo unapoishi? 😜
 
Kamaanisha mwanamke.
 
Hii ni kazi ya fasihi, safi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…