Ewe mwanaume usinunue ng'ombe Kijiji ulichotoka

Ewe mwanaume usinunue ng'ombe Kijiji ulichotoka

Mwanaume, unaponunua ngo'mbe kamwe usinunue kwenye eneo au kijiji ulichopo.
Kwanini?! Kwa sababu kuna siku ng'ombe ataenda mtoni kwa lengo la kunywa maji.

Kisia nani atakuwa eneo hilo?! Ni mmiliki wake wa mwanzoni. Unajua atakachokifanya huyo mmiliki wake wa zamani?!

Atakachofanya ni kumpigia mluzi, na ng'ombe atatambua mluzi wa mmiliki wake wa zamani, atamfuata, ng'ombe atakapomfuata mmiliki wake wa zamani, kitakachofuata ni zoezi la kukamuliwa maziwa yote mazuri.

Baada ya hapo mmiliki wa zamani atampapasa papasa ng'ombe juu ya mgongo na kumuacha aondoke kana kwamba hakuna lolote lililotokea.

Kisha wewe mmiliki mpya ukimuona ng'ombe karudi nyumbani. Utajawa furaha na kuchukua ndoo ndogo ukitaka umkamue maziwa fresh.

Lakini ng'ombe atakuwa mkali, atakupa Kung Fu kick moja takatifu. Huku akitoa mlio wa hasira. Sababu ng'ombe huwa hapendi utaratibu wa kukamuliwa maziwa yake mara kwa mara tena kwa siku nzima.
Mwanaume usinunue ngo'mbe eneo ulilopo. Huenda ngo'mbe akawa bado na mahusiano ya kihisia na mmiliki wake wa zamani wewe ukajikuta hunywi maziwa

View attachment 3293905
Ujumbe hauna uhusiano na ng'ombe
 

demu wangu kasema ili tuendelee na mahusiano itabidi niwe Nampa 50,000 Kila mwezi,,nikaona huu ufala nikakataa, amesema tuachane na saivi hapokei simu Wala hajibu message,,hii inakaaje wakuu??
Natafuta Ajira huyu ameshaingia kwenye ile list ya "mabwege"
 
Dah, kweli tumewachoka, tumeanza kuwaita ng’ombe😂
 
Ila ukweli kuoa sehemu unapojulikana jau sana. Siku ya sherehe unajiona umepaata mwenyewe, huku kuna wana wawili watatu walishaipiga kila style 🙅🏾‍♂️
 
Okay, mademu wenye matusi wanajua mapenzi sana na wanajua vitu vingi wakati wa mzagamuo ndio maana unateseka kuachana nae... mwanamke wa aina hii utafurahia sana kwenye mapenzi lakini akipata sehemu bora zaidi anakimbia.

Kunywa maji mengi, shukuru alafu songa mbele.... Tafuta wanawake wapole kama kina sawima shibela Setfree nk 🤔😆
Huyu akipata mpole atalipiza manyanyaso muache akomae tu na hilo kulumbembe lake!
 
Okay, mademu wenye matusi wanajua mapenzi sana na wanajua vitu vingi wakati wa mzagamuo ndio maana unateseka kuachana nae... mwanamke wa aina hii utafurahia sana kwenye mapenzi lakini akipata sehemu bora zaidi anakimbia.

Kunywa maji mengi, shukuru alafu songa mbele.... Tafuta wanawake wapole kama kina sawima shibela Setfree nk 🤔😆

Aisee.
 
Mnapoiba andiko la mtu jitahidi kutoa credit kwa mtunzi...
Screenshot_20250405-192158_1.jpg
 
Wewe kakwambia muachane, unachong'ang'ania ni nini!?
Kwanini umpigie simu tena?
piva block, futa number. Siku akikutafutata na kutana decline tone.
Wewe ni dhaifu sana
Mnajikutaga vyuma humu, haha
 
Sasa itakuaje siku hizi kuna internet na treni za mwendo kasi...mmiliki wake wa zaman akimfata alipo itakuaje?
Huna namna ya kuzuia chochote...kama ni wa hvyo hata hapo anapoishi atakua na wamiliki wengine tu kama jirani au kaka ako...utahamia wapi sasa labda mwezini tu...na Elon Musk akija?
 
Back
Top Bottom