Ewe mwanaume usinunue ng'ombe Kijiji ulichotoka

wakuu Mimi demu wangu kasema ili tuendelee na mahusiano itabidi niwe Nampa 50,000 Kila mwezi,,nikaona huu ufala nikakataa, amesema tuachane na saivi hapokei simu Wala hajibu message,,hii inakaaje wakuu??
Wewe kakwambia muachane, unachong'ang'ania ni nini!?
Kwanini umpigie simu tena?
piga block, futa number. Siku akikutafutata na kutana decline tone.
Wewe ni dhaifu sana
 
Sasa elfu 50 kwa umpendaye ni kitu cha kujishauri kiasi hicho tena mwz mzima?!
Shida ni kwamba,nimekubali kumpatia,,lakini yeye ni mtu wa matusi,,Hana shukrani,,nikiumwa hanijali,,na alisema Yuko bize na kazi zake nisimbane kumwambia aje kwangu na pia alisema niishi kwa kujua yeye Hana Tabia ya kumuomba msamaha mwanaume,,labda mimi ndio niwe namuomba msamaha
 
Shing Yui wakiume Mimi demu wangu kasema ili tuendelee na mahusiano itabidi niwe Nampa 50,000 Kila mwezi,,nikaona huu ufala nikakataa, amesema tuachane na saivi hapokei simu Wala hajibu message,,hii inakaaje wakuu??
Elfu 50 kama unaweza kumpa ungempa hata zaidi... Hivi viumbe wa kusasa ukitaka uenjoy inabidi uwasikilize hata nusu ya wanachotaka.
 
wakuu Mimi demu wangu kasema ili tuendelee na mahusiano itabidi niwe Nampa 50,000 Kila mwezi,,nikaona huu ufala nikakataa, amesema tuachane na saivi hapokei simu Wala hajibu message,,hii inakaaje wakuu??
Kwa sasa tafuta mwingine uwe unamtatulia haja zake... Huyu ambae hapokei simu ukilazimisha kumrudisha kwenye maisha yako utaumia
 
Imeandikwa Mwanamke ataenda kwa akina ng'ombe nao akina ng'ombe wataenda kwao na mwanamke.

Mwanaume fuata ushauri huu malidhawa.
 
Okay, mademu wenye matusi wanajua mapenzi sana na wanajua vitu vingi wakati wa mzagamuo ndio maana unateseka kuachana nae... mwanamke wa aina hii utafurahia sana kwenye mapenzi lakini akipata sehemu bora zaidi anakimbia.

Kunywa maji mengi, shukuru alafu songa mbele.... Tafuta wanawake wapole kama kina sawima shibela Setfree nk 🤔😆
 
Uko sahihi mkuu
 
Wewe kakwambia muachane, unachong'ang'ania ni nini!?
Kwanini umpigie simu tena?
piva block, futa number. Siku akikutafutata na kutana decline tone.
Wewe ni dhaifu sana
Sawa mkuu
 
Yawezekana ni kweli usemayo lakini sio wanawake wote wapo hivyo. Kuna wanawake wamepata malezi bora na wana moral values na kikubwa wanaheshimu sana ndoa zao.

Samaki akioza mmoja sio kweli kuwa wote waliomo kwenye tenga wameoza.

Note: kama kuna mwanamke mwenye uhitaji wa mume wa kujenga nae maisha bora pamoja, mume nipo hapa. Sifa za huyo mwanamke ninayemtafuta zipo hapa chini kwenye signature yangu. KARIBU SANA
 
Mbona kam mnajitetea san mnalia au!?
 
WATU NI WAGUMU SANA KUELWA. Mkuu sisi tuliokulia vijijini tunajua kama ulimuacha kwa wema au yeye ndo alikuacha nakuhakikishia wote wapo hivyo tena akija hata ukiwa nae kwao ataenda kwa jirani na jamaa ataitwa hii ilikuwa inatumika kwa sababu simu hazikuwepo enzi hizo sasa hivi akifika tu anaomba no ya simu tena wanafanyia hukohuko machakani kama walivykuwa wanafanya hapo awali.

hasara roho pesa makaratasi tu akioga inarudi upyaa yaani piruu
 
Na ukienda ugenini utaambiwa ukifuga ng'ombe kubali kuwa ng'ombe. Kiufupi biashara ya ng'ombe haijawahi kulipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…