Ujumbe hauna uhusiano na ng'ombeMwanaume, unaponunua ngo'mbe kamwe usinunue kwenye eneo au kijiji ulichopo.
Kwanini?! Kwa sababu kuna siku ng'ombe ataenda mtoni kwa lengo la kunywa maji.
Kisia nani atakuwa eneo hilo?! Ni mmiliki wake wa mwanzoni. Unajua atakachokifanya huyo mmiliki wake wa zamani?!
Atakachofanya ni kumpigia mluzi, na ng'ombe atatambua mluzi wa mmiliki wake wa zamani, atamfuata, ng'ombe atakapomfuata mmiliki wake wa zamani, kitakachofuata ni zoezi la kukamuliwa maziwa yote mazuri.
Baada ya hapo mmiliki wa zamani atampapasa papasa ng'ombe juu ya mgongo na kumuacha aondoke kana kwamba hakuna lolote lililotokea.
Kisha wewe mmiliki mpya ukimuona ng'ombe karudi nyumbani. Utajawa furaha na kuchukua ndoo ndogo ukitaka umkamue maziwa fresh.
Lakini ng'ombe atakuwa mkali, atakupa Kung Fu kick moja takatifu. Huku akitoa mlio wa hasira. Sababu ng'ombe huwa hapendi utaratibu wa kukamuliwa maziwa yake mara kwa mara tena kwa siku nzima.
Mwanaume usinunue ngo'mbe eneo ulilopo. Huenda ngo'mbe akawa bado na mahusiano ya kihisia na mmiliki wake wa zamani wewe ukajikuta hunywi maziwa
View attachment 3293905
Natafuta Ajira huyu ameshaingia kwenye ile list ya "mabwege"demu wangu kasema ili tuendelee na mahusiano itabidi niwe Nampa 50,000 Kila mwezi,,nikaona huu ufala nikakataa, amesema tuachane na saivi hapokei simu Wala hajibu message,,hii inakaaje wakuu??
Hii nayo ni ngβombe tu
Huyu akipata mpole atalipiza manyanyaso muache akomae tu na hilo kulumbembe lake!Okay, mademu wenye matusi wanajua mapenzi sana na wanajua vitu vingi wakati wa mzagamuo ndio maana unateseka kuachana nae... mwanamke wa aina hii utafurahia sana kwenye mapenzi lakini akipata sehemu bora zaidi anakimbia.
Kunywa maji mengi, shukuru alafu songa mbele.... Tafuta wanawake wapole kama kina sawima shibela Setfree nk π€π
Okay, mademu wenye matusi wanajua mapenzi sana na wanajua vitu vingi wakati wa mzagamuo ndio maana unateseka kuachana nae... mwanamke wa aina hii utafurahia sana kwenye mapenzi lakini akipata sehemu bora zaidi anakimbia.
Kunywa maji mengi, shukuru alafu songa mbele.... Tafuta wanawake wapole kama kina sawima shibela Setfree nk π€π
Kwakweli apambane tu na hali yakeHuyu akipata mpole atalipiza manyanyaso muache akomae tu na hilo kulumbembe lake!
Mnajikutaga vyuma humu, hahaWewe kakwambia muachane, unachong'ang'ania ni nini!?
Kwanini umpigie simu tena?
piva block, futa number. Siku akikutafutata na kutana decline tone.
Wewe ni dhaifu sana
Mwanaume hatakiwi kulialia, kaumbwa kukabiliana na changamoto na regulate hawa viumbe (ishini nao kwa akili sio hisiaMnajikutaga vyuma humu, haha
Ng'ombe gani ana chuchu mguuni? Haaaaaaaah. Wewe ni TaperiMnapoiba andiko la mtu jitahidi kutoa credit kwa mtunzi...
View attachment 3294339