Sioni haja ya kupeleka mtoto boarding ikiwa upo mazingira yenye shule za day zenye hizi sifa:
-zipo karibu zinafikika ndani ya lisaa
-zinafaulisha takribani wanafunzi asilimia 50
-zina walimu wa kutosha
-usimamizi upo wa mzazi kufahamishwa mahudhurio ya mtoto
Tuache kudanganyana kama zamani eti mtoto akajifunze maisha boarding, maisha kwa kiasi kikubwa mtoto ibabidi ajifunzie nyumbani kwa muongozo wa wazazi / walezi, sisi tuliowahi kusoma boarding na day tunayajua haya.
Huko boarding hakuna mtu mzima ambae ana mida na mtoto wako, yule matron / patron ambae unamuambia akutunzie mtoto huwa anaambiwa hivyo na kila mzazi.
hata kama upo bize sana ni heri angalau umuone mtoto wako kila siku hata iwe usiku unavyorudi kuliko kumwacha huko boarding miezi
Ni kweli kuna michezo michafu ipo hata mtaani kwa day lakini ukikaa na mtoto wako unapata chance ya kuwa nae karibu na kuweza kumguide, kumbuka hata hao wa boarding nao wakija likizo wanaingia maisha ya mtaani wakiingia kwenye michezo michafu ya mitaani unaweza kujua mapema na kumrekebisha lakini akirudi huko boarding huwezi jua kinachoendelea
Sikuhizi boarding kumwekuwa na mambo negative hasa ya utandawazi yaliyoongezeka kwa kiasi kikubwa sana kuliko zamani, mambo haya yalikuwepo ila yameongezeka sana
Kama shule za day zipo ni heri uwe na mtoto wako mpaka atakapoenda chuoni

- watoto wadogo wanafundishana kupiga punyeto mabafuni wakati wa kuoga.
- Kuna katuni / muvi kibao siku hizi zinazoesha mapenzi ya jinsia moja yaonekane kawaida, vishawishi vimeongezeka vya watoto huko mabwenini kujaribu hii michezo, unamkuta mtoto darasani kipanga ila anajitangaza ni gay na anachukulia kawaida, mfano mwaka jana hapo kuna mtoto wa mtanzania moja maarufu alijitangaza mtandaoni ila mama yake akafuta na kumtetea.
- Kumeongezeka kasi kubwa sana ya watoto kutumia pombe na bangi mabwenini hasa weekend, ni kweli hata sisi zamani haya mambo yalikuwepo ila kwa sasa yamezidi.
- ni ngumu sana mtoto bila uangalizi kwenda kanisani / msikitini, n.k. kuna shule hadi watoto waende hizo sehem mpaka basi likodishwe tena mara chache