Michezo michafu inafanyika boardingHuu mjadala ni mzito. Mleta uzi uko sahihi kwa kiasi fulani ila sio lazima mtoto akienda bweni ndo awe na tabia mbaya. Bweni ya kuanzia mtoto wa miaka 14 naona haina madhara kwasababu mtoto ni ngumu kuacha malezi aliyopata kabla ya umri huo. Tatizo kuna wazazi wapumbavu hupeleka bweni hata mtoto wa shule ya msingi. Mtoto ana miaka 8 eti yuko bweni? wazazi mmelogwa?
Unique mtoto wa chuga tutawezana kweli?, ukiwa legelege unachezea makwenzi.Unique Flower msaidie mdau huyu angalia lakini kijana anapiga Puli wewe upo kweli?
Unique Flower msaidie mdau huyu angalia lakini kijana anapiga Puli wewe upo kweli?
Acha uoga we si unataka pa kukojolea au ?Unique mtoto wa chuga tutawezana kweli?, ukiwa legelege unachezea makwenzi.
Sasa umeona athari za kukaa huko bwenini? [emoji23][emoji23][emoji23]Days labda za huko mkoani, hapa dar es salaam kila nilipita Naona vijana wapo nje ya madarasa wanaviredio mara wanacheza visingeli wamekunja suruali.
SAA mbili usiku wapo wanangojea daladala....
Na walalugha mbovu za kihuni
Kwakweli hapana.
Bado bodaboda wamtaani..
Akakae boarding tuu huko nihangaike Ada ipatikane.
Yaani boarding nilipiga chini kitambo.Sioni haja ya kupeleka mtoto boarding ikiwa upo mazingira yenye shule za day zenye hizi sifa:
-zipo karibu zinafikika ndani ya lisaa
-zinafaulisha takribani wanafunzi asilimia 50
-zina walimu wa kutosha
-usimamizi upo wa mzazi kufahamishwa mahudhurio ya mtoto
Tuache kudanganyana kama zamani eti mtoto akajifunze maisha boarding, maisha kwa kiasi kikubwa mtoto ibabidi ajifunzie nyumbani kwa muongozo wa wazazi / walezi, sisi tuliowahi kusoma boarding na day tunayajua haya.
Huko boarding hakuna mtu mzima ambae ana mida na mtoto wako, yule matron / patron ambae unamuambia akutunzie mtoto huwa anaambiwa hivyo na kila mzazi.
hata kama upo bize sana ni heri angalau umuone mtoto wako kila siku hata iwe usiku unavyorudi kuliko kumwacha huko boarding miezi
Sikuhizi boarding kumwekuwa na mambo negative hasa ya utandawazi yaliyoongezeka kwa kiasi kikubwa sana kuliko zamani, mambo haya yalikuwepo ila yameongezeka sana
- watoto wadogo wanafundishana kupiga punyeto mabafuni wakati wa kuoga.
- Kuna katuni / muvi kibao siku hizi zinazoesha mapenzi ya jinsia moja yaonekane kawaida, vishawishi vimeongezeka vya watoto huko mabwenini kujaribu hii michezo, unamkuta mtoto darasani kipanga ila anajitangaza ni gay na anachukulia kawaida, mfano mwaka jana hapo kuna mtoto wa mtanzania moja maarufu alijitangaza mtandaoni ila mama yake akafuta na kumtetea.
- Kumeongezeka kasi kubwa sana ya watoto kutumia pombe na bangi mabwenini hasa weekend, ni kweli hata sisi zamani haya mambo yalikuwepo ila kwa sasa yamezidi.
- ni ngumu sana mtoto bila uangalizi kwenda kanisani / msikitini, n.k. kuna shule hadi watoto waende hizo sehem mpaka basi likodishwe tena mara chache
Kama shule za day zipo ni heri uwe na mtoto wako mpaka atakapoenda chuoni
Michezo michafu ipo hata mtaani... mimi hapa baba yangu ilibidi kila siku awe anaamka asubuhi na kuongozana na mdogo wangu wa kiume hadi shuleni kwasababu alikuwa hafiki shule na kuishia kwenye makundi ya kishenzi. Yule dogo alimaliza form four na kufaulu div III. Kwahiyo hakuna uafadhali. Muhimu ni mzazi kupambania kizazi chako. Usijidanganye akiwa boarding au day yuko salama.Michezo michafu inafanyika boarding
Mtoto hata umfukie kwenye shimo peke yake lazima tu atajua tu kupiga punyetoSioni haja ya kupeleka mtoto boarding ikiwa upo mazingira yenye shule za day zenye hizi sifa:
-zipo karibu zinafikika ndani ya lisaa
-zinafaulisha takribani wanafunzi asilimia 50
-zina walimu wa kutosha
-usimamizi upo wa mzazi kufahamishwa mahudhurio ya mtoto
Tuache kudanganyana kama zamani eti mtoto akajifunze maisha boarding, maisha kwa kiasi kikubwa mtoto ibabidi ajifunzie nyumbani kwa muongozo wa wazazi / walezi, sisi tuliowahi kusoma boarding na day tunayajua haya.
Huko boarding hakuna mtu mzima ambae ana mida na mtoto wako, yule matron / patron ambae unamuambia akutunzie mtoto huwa anaambiwa hivyo na kila mzazi.
hata kama upo bize sana ni heri angalau umuone mtoto wako kila siku hata iwe usiku unavyorudi kuliko kumwacha huko boarding miezi
Sikuhizi boarding kumwekuwa na mambo negative hasa ya utandawazi yaliyoongezeka kwa kiasi kikubwa sana kuliko zamani, mambo haya yalikuwepo ila yameongezeka sana
- watoto wadogo wanafundishana kupiga punyeto mabafuni wakati wa kuoga.
- Kuna katuni / muvi kibao siku hizi zinazoesha mapenzi ya jinsia moja yaonekane kawaida, vishawishi vimeongezeka vya watoto huko mabwenini kujaribu hii michezo, unamkuta mtoto darasani kipanga ila anajitangaza ni gay na anachukulia kawaida, mfano mwaka jana hapo kuna mtoto wa mtanzania moja maarufu alijitangaza mtandaoni ila mama yake akafuta na kumtetea.
- Kumeongezeka kasi kubwa sana ya watoto kutumia pombe na bangi mabwenini hasa weekend, ni kweli hata sisi zamani haya mambo yalikuwepo ila kwa sasa yamezidi.
- ni ngumu sana mtoto bila uangalizi kwenda kanisani / msikitini, n.k. kuna shule hadi watoto waende hizo sehem mpaka basi likodishwe tena mara chache
Kama shule za day zipo ni heri uwe na mtoto wako mpaka atakapoenda chuoni
Kwan chuo huwa wanaenda na umri gani? Mbona wanaacha malezi waliyopewa na wazazi au walezi, na kuanza yao mapyaa.Huu mjadala ni mzito. Mleta uzi uko sahihi kwa kiasi fulani ila sio lazima mtoto akienda bweni ndo awe na tabia mbaya. Bweni ya kuanzia mtoto wa miaka 14 naona haina madhara kwasababu mtoto ni ngumu kuacha malezi aliyopata kabla ya umri huo. Tatizo kuna wazazi wapumbavu hupeleka bweni hata mtoto wa shule ya msingi. Mtoto ana miaka 8 eti yuko bweni? wazazi mmelogwa?
Tabia mbaya kwa mujibu wa nani?Puli ni tabia mbaya mkuu,kwanini upulike wakati wanawake ni WENGI Hadi wanamwagika?
Acha uoga we si unataka pa kukojolea au ?
Kweli kabisaSioni haja ya kupeleka mtoto boarding ikiwa upo mazingira yenye shule za day zenye hizi sifa:
-zipo karibu zinafikika ndani ya lisaa
-zinafaulisha takribani wanafunzi asilimia 50
-zina walimu wa kutosha
-usimamizi upo wa mzazi kufahamishwa mahudhurio ya mtoto
Tuache kudanganyana kama zamani eti mtoto akajifunze maisha boarding, maisha kwa kiasi kikubwa mtoto ibabidi ajifunzie nyumbani kwa muongozo wa wazazi / walezi, sisi tuliowahi kusoma boarding na day tunayajua haya.
Huko boarding hakuna mtu mzima ambae ana mida na mtoto wako, yule matron / patron ambae unamuambia akutunzie mtoto huwa anaambiwa hivyo na kila mzazi.
hata kama upo bize sana ni heri angalau umuone mtoto wako kila siku hata iwe usiku unavyorudi kuliko kumwacha huko boarding miezi
Sikuhizi boarding kumwekuwa na mambo negative hasa ya utandawazi yaliyoongezeka kwa kiasi kikubwa sana kuliko zamani, mambo haya yalikuwepo ila yameongezeka sana
- watoto wadogo wanafundishana kupiga punyeto mabafuni wakati wa kuoga.
- Kuna katuni / muvi kibao siku hizi zinazoesha mapenzi ya jinsia moja yaonekane kawaida, vishawishi vimeongezeka vya watoto huko mabwenini kujaribu hii michezo, unamkuta mtoto darasani kipanga ila anajitangaza ni gay na anachukulia kawaida, mfano mwaka jana hapo kuna mtoto wa mtanzania moja maarufu alijitangaza mtandaoni ila mama yake akafuta na kumtetea.
- Kumeongezeka kasi kubwa sana ya watoto kutumia pombe na bangi mabwenini hasa weekend, ni kweli hata sisi zamani haya mambo yalikuwepo ila kwa sasa yamezidi.
- ni ngumu sana mtoto bila uangalizi kwenda kanisani / msikitini, n.k. kuna shule hadi watoto waende hizo sehem mpaka basi likodishwe tena mara chache
Kama shule za day zipo ni heri uwe na mtoto wako mpaka atakapoenda chuoni
Sio wote wanaoacha malezi ya wazazi. Halafu haya mambo yanahitaji sana neema za Mungu. Mimi nimekuwa na watoto wa wachungaji ila ukubwani wale rafiki zangu ni kama walidata... yaani pombe na ngono waliziparamia kwelikweli. Saa nyingine pia huwa ninafurahia malezi ya kutobanwa sana... mambo mengi niliyaona mapema na kuyaona hayana maana.Kwan chuo huwa wanaenda na umri gani? Mbona wanaacha malezi waliyopewa na wazazi au walezi, na kuanza yao mapyaa.
Kabisa mzee...Wapelekeni seminary za dini, huko kidogo kuna afadhali
Hakufanyi kituWatoto wa Chuga sio poa.
Mbona ka ugomvi wakat katoa ushaur tuMleta mada hujielewi baba na mama wanajeshi wanaishi kwenye makambi porini huko hakuna shule karibu unataka watoto wao wasome wapi? kama sio bweni
Kuna wale vipato shida kula shida pa kulala shida anaamua akope mtoto aende bweni kwenye uhakika wa chakula na malazi
Kuna wale waondoka usiku Wana hoteli nk au kazi huamka usiku kwenda kazini na kurudi usiku unatakaje?
Hiyo hoja Kenya ndio walianzisha upinzani waliopata kutoka Kwa wazazi Tena wakiwemo watu wenye pesa sio mdogo zoezi limeshindikana Kenya
Wazazi hawataki
Mleta mada Lea mwanao aende day atongozwe na bodaboda bajaji na Makonda kisa anabana kahela unampa utajijua
Kila mzazi ahangaike na mwanae tusipangiane
Shida ya puli ni unalegeza mishipa ya uume . Angetafuta mdoliUnique Flower msaidie mdau huyu angalia lakini kijana anapiga Puli wewe upo kweli?
Eh!Unique mtoto wa chuga tutawezana kweli?, ukiwa legelege unachezea makwenzi.