Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Nape huko vijijini vocha wanaweka mara moja kwa mwezi na wengine wanasubiri kupigiwa na ndugu zao wa mjini, nina uhakika hata kwenye jimbo lako wapo wengi wao.
Usiongeze kodi kwenye vitochi hiyo smart ni kama kitochi bila Internet, kama kusudio ni kila mtu awe kwenye dunia ya kidijitali weka Internet bure au kwa gharama nafuu.
TTCL wapo nawasilisha ila najua plan ni kuongeza watumiaji wa smart ili muwakate kodi zenu za ovyo kila wakiweka vocha nyie maccm kwenye hila hamjambo.