Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Huyu ni bonge la poyoyo alikuja na issue ya kufungia vpn sijui aliishia wapiChawa mmoja hodari
Hiyo dunia nzima unaongea based on fact au mihemuko yako(personal opinions)!?Dunia nzima hakuna internet ya bure. Nchi tu yenyewe kuna gharama wanalipia kupata hizo services. Now kuhusu kitocho ni kweli ame approach vibaya, ni bora angeshusha bei ya smart phones iwe affordable kwa mwananchi wa kawaida