mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Njoo ujumuike na wastaarabushukran ๐
Wazee wa mujini wenyewe ๐
Hatupendi kelele,watulivu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo ujumuike na wastaarabushukran ๐
"Mbwa wewe" by SamiaNi uzalendo wa maana sana kuitikia wito wa dola, kutii maelekezo, ilani au amri za vyombo vya ulinzi na usalama bila ukaidi, ubishi wala kiburi kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi..
Jitahidi sana uwe Raia mwema siku zote, muungwana, mzalendo, mtiifu kwa sheria na katiba ya nchi, na kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama ikihitajika, kamwe usikubali kuchochewa, kudanyanywa au kuhamasishwa na viongozi wa kisiasa wenye viburi na jeuri kwa dola, na wenye dhamira ya kuhatarisha au kuvuruga umoja, amani na utulivu wa wengine.
Usikubali kufundishwa ukaidi, jeuri na kiburi kwa Dola. daima, kumbuka akili za kuambiwa, ni vizuri ukanchanganya na zako.
Daima jitenge dhidi ya ukaidi kwa dola, kwasababu utaumia na utapata tabu sana ukiwa mwenyewe pekeyako na utalazimishwa kutii na kuheshimu katiba kwa shuruti na nguvu inayoweza kukusababishia madhara kimwili au kiakili.
kutii Sheria bila shuruti ndio mpango mzima wa amani na salama yako..๐
Mungu Ibariki Tanzania
Kama ni hivyo kwa nini tulipigania Uhuru? Tungewaacha Uingereza watawale tungekuwa kama Hong Kong au Singapore hii leoNi uzalendo wa maana sana kuitikia wito wa dola, kutii maelekezo, ilani au amri za vyombo vya ulinzi na usalama bila ukaidi, ubishi wala kiburi kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi..
Jitahidi sana uwe Raia mwema siku zote, muungwana, mzalendo, mtiifu kwa sheria na katiba ya nchi, na kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama ikihitajika, kamwe usikubali kuchochewa, kudanyanywa au kuhamasishwa na viongozi wa kisiasa wenye viburi na jeuri kwa dola, na wenye dhamira ya kuhatarisha au kuvuruga umoja, amani na utulivu wa wengine.
Usikubali kufundishwa ukaidi, jeuri na kiburi kwa Dola. daima, kumbuka akili za kuambiwa, ni vizuri ukanchanganya na zako.
Daima jitenge dhidi ya ukaidi kwa dola, kwasababu utaumia na utapata tabu sana ukiwa mwenyewe pekeyako na utalazimishwa kutii na kuheshimu katiba kwa shuruti na nguvu inayoweza kukusababishia madhara kimwili au kiakili.
kutii Sheria bila shuruti ndio mpango mzima wa amani na salama yako..๐
Mungu Ibariki Tanzania
Tulipa uhuru kwasabb tulikua na mawazo mapya, fikra na mipango mbadala zenye nguvu, dhidi ya mipango serikali dhaifu sana ya kikoloni ๐Kama ni hivyo kwa nini tulipigania Uhuru? Tungewaacha Uingereza watawale tungekuwa kama Hong Kong au Singapore hii leo
Mjinga wewe, mmefanya nini tangu tupate Uhuru? Zaidi tulichopata ni Ukimwi na ebolaTulipa uhuru kwasabb tulikua na mawazo mapya, fikra na mipango mbadala zenye nguvu, dhidi ya mipango serikali dhaifu sana ya kikoloni ๐
Kata tamaa babuu, nyie mtaungua moto, lazima, unajua mmeumiza watu wangapi? Mamilioni. ukimwi, njaa, ebola etc etc etc. Sasa hivi watu wako kwenye AI sisi bado tunakunya porini hata kujenga choo hatuwezi.relax na upunguze makasiriko tu gentleman,
tuna alternative plans za kuepuka kupata ukimwi na ebola , ni muhimu sana kuzingatia hizo ๐
mazingira ya nchi yetu kiuchumi kijamii na kisiasa yanawezesha kila mTanzania kua na uwezo wa kujenga choo chake mwenyewe, acha kunya porini sawa gentleman? acha uvivu chimba choo....Kata tamaa babuu, nyie mtaungua moto, lazima, unajua mmeumiza watu wangapi? Mamilioni. ukimwi, njaa, ebola etc etc etc. Sasa hivi watu wako kwenye AI sisi bado tunakunya porini hata kujenga choo hatuwezi.
mazingira ya nchi yetu kiuchumi kijamii na kisiasa yanawezesha kila mTanzania kua na uwezo wa kujenga choo chake mwenyewe, acha kunya porini sawa gentleman? acha uvivu chimba choo....
hayo mengine ya hisia na kutafuta huruma ni useless ๐
| Type of Government | Presidential republic |
|---|---|
| Capital | Dar es Salaam (administrative capital), Dodoma (legislative capital) |
| Sovereign Ratings | S&P: Not rated Moodyโs: B1 Fitch: B+ |
| Total Population | 65.2 million |
| Median Age | 17.2 |
| Adult Per Capita Income (PPP) | 6,081.86 |
| Total GDP (2023) | 79.6 billion |
Sawa sawa naona napewa neno hapa ๐ ila sogea basi hapani muhimu kuzingatia faragha na saa za ibada ikiwa unapendelea mambo hayo, hayafanyiki wazi wazi tu bila heshima ๐
Nani anayeamua kwamba sasa wapinzani wamebadilika? Nchi hii ni ya wote, isipokuwa tu kwamba wakati fulani watu wa chama X walianza na hata baadhi ya hao tunaowaita wapinzani walikuwa huko huko. Hivyo, hakuna kundi la watu wanaoweza kujimilikisha nchi kwamba ni yao, na hawa wengine wapo tu kuleta upinzani. Hivyo, kubadilika ni kwa wote.maelezo yako, maoni na mtazamo wako baadhi uko sahihi na baadhi yafaa ufadanuzi zaid ila siyo mabaya kiujumla...
unajua ikifikia mahali wanasiasa au hawa wanaoitwa wapinzani wakabadilika na wakaja na mawazo mapya na fikra mbdala dhidi ya yanayo lalamikiwa tunaweza kupiga hatua kubwa mbele na kwa haraka sana....
hii ya kiongozi kulalamika kwa hisia na tuhuma za kusadikika na mwananchi kuchochewa ili aone huruma haiwezi kuleta mabadiliko kijamii, kisiasa au kiuchumi ๐
muamuzi wa kubadili chochote nchini ni mwananchi mwenyewe ๐Nani anayeamua kwamba sasa wapinzani wamebadilika? Nchi hii ni ya wote, isipokuwa tu kwamba wakati fulani watu wa chama X walianza na hata baadhi ya hao tunaowaita wapinzani walikuwa huko huko. Hivyo, hakuna kundi la watu wanaoweza kujimilikisha nchi kwamba ni yao, na hawa wengine wapo tu kuleta upinzani. Hivyo, kubadilika ni kwa wote.
ni muhimu kua muungwana mwenye ushirikiano nao, omba utambulisho wao, wanatoka wapi nawe unahitaji wapi kwasabb gani, ukiwa unatoa ushirikiano huo omba kuwasiliana na ndugu na jamaa zako kuwaarifu unakopelekwa ili hatimae waje kufahamu kulikoni, utakapopelekwa, simple tu ๐Tii Sheria bila shuruti, wakikwambia twende kwenye mahojiano halafu wanakazia usiogope mafupi tu ujue ndio burian
Wewe umekuja Tanzania leo?ni muhimu kua muungwana mwenye ushirikiano nao, omba utambulisho wao, wanatoka wapi nawe unahitaji wapi kwasabb gani, ukiwa unatoa ushirikiano huo omba kuwasiliana na ndugu na jamaa zako kuwaarifu unakopelekwa ili hatimae waje kufahamu kulikoni, utakapopelekwa, simple tu ๐
sasa wewe jazwa jeuri na kiburi na wanasiasa na wanaharakti uchwara kukaidi wito wa kiusalama...
utapata tabu sana ๐
Je, kwa hapa Tanzania Kuna Kutii Sheria bila Shuruti au Kuna KUTII SHURUTI BILA SHERIA?????Ni uzalendo wa maana sana kuitikia wito wa dola, kutii maelekezo, ilani au amri za vyombo vya ulinzi na usalama bila ukaidi, ubishi wala kiburi kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi..