Ewe Raia mwema wa Tanzania usidanganyike, tii Sheria bila shuruti, zingatia wito na uamuzi wa Mahakama na Wananchi kwa hekima na busara

"Mbwa wewe" by Samia
 
Kama ni hivyo kwa nini tulipigania Uhuru? Tungewaacha Uingereza watawale tungekuwa kama Hong Kong au Singapore hii leo
 
Kama ni hivyo kwa nini tulipigania Uhuru? Tungewaacha Uingereza watawale tungekuwa kama Hong Kong au Singapore hii leo
Tulipa uhuru kwasabb tulikua na mawazo mapya, fikra na mipango mbadala zenye nguvu, dhidi ya mipango serikali dhaifu sana ya kikoloni πŸ’

hatukua tunalalamika tu kama ilivyo sasa bila kua na alternative plans, hii ni useless gentleman...
 
Mjinga wewe, mmefanya nini tangu tupate Uhuru? Zaidi tulichopata ni Ukimwi na ebola
relax na upunguze makasiriko tu gentleman,

tuna alternative plans za kuepuka kupata ukimwi na ebola , ni muhimu sana kuzingatia hizo πŸ’
 
Huko ntakuja
Pombe zipo lkn

Ova
ni muhimu kuzingatia faragha na saa za ibada ikiwa unapendelea mambo hayo, hayafanyiki wazi wazi tu bila heshima πŸ’
 
relax na upunguze makasiriko tu gentleman,

tuna alternative plans za kuepuka kupata ukimwi na ebola , ni muhimu sana kuzingatia hizo πŸ’
Kata tamaa babuu, nyie mtaungua moto, lazima, unajua mmeumiza watu wangapi? Mamilioni. ukimwi, njaa, ebola etc etc etc. Sasa hivi watu wako kwenye AI sisi bado tunakunya porini hata kujenga choo hatuwezi.
 
mazingira ya nchi yetu kiuchumi kijamii na kisiasa yanawezesha kila mTanzania kua na uwezo wa kujenga choo chake mwenyewe, acha kunya porini sawa gentleman? acha uvivu chimba choo....

hayo mengine ya hisia na kutafuta huruma ni useless πŸ’
 
Macroeconomy & Sovereign Data​

Type of GovernmentPresidential republic
CapitalDar es Salaam (administrative capital), Dodoma (legislative capital)
Sovereign RatingsS&P: Not rated
Moody’s: B1
Fitch: B+
Total Population65.2 million
Median Age17.2
Adult Per Capita Income (PPP)6,081.86
Total GDP (2023)79.6 billion
 
ni muhimu kuzingatia faragha na saa za ibada ikiwa unapendelea mambo hayo, hayafanyiki wazi wazi tu bila heshima πŸ’
Sawa sawa naona napewa neno hapa πŸ˜„ ila sogea basi hapa
Nkupe maua yako

Ova
 
Tii Sheria bila shuruti, wakikwambia twende kwenye mahojiano halafu wanakazia usiogope mafupi tu ujue ndio burian
 
Nani anayeamua kwamba sasa wapinzani wamebadilika? Nchi hii ni ya wote, isipokuwa tu kwamba wakati fulani watu wa chama X walianza na hata baadhi ya hao tunaowaita wapinzani walikuwa huko huko. Hivyo, hakuna kundi la watu wanaoweza kujimilikisha nchi kwamba ni yao, na hawa wengine wapo tu kuleta upinzani. Hivyo, kubadilika ni kwa wote.
 
muamuzi wa kubadili chochote nchini ni mwananchi mwenyewe πŸ’

hata hivyo itategemea na yeye kuvutiwa na mawazo mapya, sera nzuri za kuleta mabadiliko kwake, mipango mikakati, na fikra mbadala za kubadili maisha yake dhidi ya mipango mikakati inayoathiri maisha na mustakabali wa maisha ya mwananchi....

na sio kulalamika kwa uhodari sana, au kutia huruma na huzuni sana, au kuwa hodari wa kuhisi kutuhumu wengine kwa mambo ya uzushi...

au eti uniseme mimi vibaya ili wewe upendwe na kuonekana wa maana,
gentleman , hiyo haitoshi kuleta wala kuchochea mageuzi au mabadiliko popote πŸ’

mabadiliko huchochewa na mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya zinaonekana dhaifu πŸ’

humu nchini yuko wap basi, hata huyo mwenye afadhalli tu kidogo ya hizo fikra mbadala na mawazo mapya?

utacheka 🀣
 
Tii Sheria bila shuruti, wakikwambia twende kwenye mahojiano halafu wanakazia usiogope mafupi tu ujue ndio burian
ni muhimu kua muungwana mwenye ushirikiano nao, omba utambulisho wao, wanatoka wapi nawe unahitaji wapi kwasabb gani, ukiwa unatoa ushirikiano huo omba kuwasiliana na ndugu na jamaa zako kuwaarifu unakopelekwa ili hatimae waje kufahamu kulikoni, utakapopelekwa, simple tu πŸ’

sasa wewe jazwa jeuri na kiburi na wanasiasa na wanaharakti uchwara kukaidi wito wa kiusalama...
utapata tabu sana πŸ’
 
Wewe umekuja Tanzania leo?
 
Je, kwa hapa Tanzania Kuna Kutii Sheria bila Shuruti au Kuna KUTII SHURUTI BILA SHERIA?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…