Ewe unaeteseka na mapenzi amini katika muda! Muda utakuponya na kukubadilishia kila kitu

Bush dokta
Mume wangu ni church boy
Nikikwambia vyeo vyake kanisani
Uwezi hata kuamini
Ila kuanzia koment yako ya kwanza umepanga kushambulia tu

Basi tuseme upo sawa😂
Masai Dada nipo hapa kuelimisha unaweza ukadhani niko aggressive, i am not at all.

Vijana wajifunze watu wengi wameharibikiwa sana maisha yao kwa kupuuza vitu vidogo vidogo.

Mtu Malaya kama huyo unavyomweleza unawezaje kusema ni Church Boy? Utakuwa na wewe hujielewi.
Church Boy malaya kiasi hicho? Unnoticed? Sio kwamba ulikuwa unapuzia kwa sababu unampenda?

Tunq comment hapa kwq sababu watu wengi wanasoma na wanajifunza na sio kwamba niko against You but Ideology and whole concept
 
Duuh ulijitosa,
Kitu ambacho hukujua huyo jamaa ana addiction tayari.
Na mwanaume ambae anatazama pornografia,
Mwanamke yeyote anaesex nae ni same na anaowaona kwenye pornografia, au chini yq hapo.
 
Siriaz
Unaweza fanya jambo lolote ili upate afueni
Kabisa

Kuna mtu niliwahi kudate naye Mwaka 47, Kila nikiomba mzigo alikuwa anasema subiri, subiri (Miaka ya zamani kula mzigo ilihitaji uwe mvumilivu sana, tofauti na miaka hii)

Siku Sina hili wala lile, napokea ujumbe wake, nimechukua Chumba hotel xxxx, nakusubiri 🤗

Unajua nilisusiwa mzigo nijilie Siku mbili Kwa hotel 🙌

kumbe yule binti kuna Mwanaume alikuwa ana-date naye akimvalisha Pete ya uchumba

Lakini over suddenly jamaa akabadili mawazo, na kumchumbia binti mwingine
 
Upendo uliokuwa nao kwenye mahusiano yako ya kwanza ni sawa na wa saivi?
First love nilipenda hasa na niliumia hasa pia kuamini mapenz mabaya nafikir ndo kumenifanya nione ni ujinga sababu sikuwa na naejoy kuwa kwenye mahusiano visirani na kutokuthamin wanaonipenda

Hiyo ukikumbatia utapoteza wengi wanaokupenda utaishi Kwa wasiwasi so nikaamua niwe royal
Naenjoy moment ambayo nipo napenda hasa Yan hiyo first love nilikuwa mshamba nilikuwa sijui hata kukiss vizuri 😀😀
 
Watu wengi hawapendi kupendwa

Faida yangu kubwa ya kwanza nilimnunulia iphone 13 pro by the time

Ila ndo anachatia madem zake huko


😂😂😂😂
Nyie sasa hivi ela zangu wanakula ndugu zangu na mama yangu
😂😂😂Pole Sana Yani wanaume sijui Wana Shida Gani ukimpenda lazima akutese Na ukijifanya kumpa ela Kumsupport kiuchumi anaenda kuspend Na wanawake wengine
 
Unamaanisha...pata mpenzi kabla hujamwacha wa sasa?
Ukiona mambo hayaendi unafanyaje, penzi halifi kama ajali ya basi...ni taratibu unaona kabisa hapa hamna kitu.
 
Shida mtu ukipenda Hasa Sisi wanawake tunaonaga kila kitu kinawezekana
 
NINATOA HUDUMA YA KUPONYA MAUMIVU YA MAPENZI...UNALIPIA KIDOGO😅
Nishavuka huko Mimi naamini sana Mungu
Kila kitu Mungu akitaka kiwe chako kitakuwa na kama sio hata upinduke juu chini hakiwez kuwa naridhika na kudra zake

Alichotaka niwe nacho ndio changu nitaumia lakin never huwez nisikia nasema wanaume wote mbwa 😀
 

Church boy acha kabisaa hao ni umbwa mwitu ninaendelea kuhitimisha
Namba 2 na 3 hiyo nilisha thibitisha kwa huyo Kijana mmoja wa kujiita mtumishi na sio yeye tu anajiita mpk watu wa nnje mpk ukitaka kufika kwake unawaambia boda nipeleke kwa pastor.. anazunguka mikoani mpk nnje ya nchi ana hubiri

Hajaoa but anakula wadada,, let’s us say yeye pia ni mwanadamu ndio udhahifu wake lakini ndio awe addicted hivyo mpk malaya wa telegram jamani ana magroup ya connections na porn.. kilichonikera zaidii alinionesha mwanaume anafirwa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu halafu anavoangalia ni kama anafurahia kama na yeye afanye hivyo… hapo nilienda kwake niko period bila aibu akaniambia ndio maana wanawake tunafirwa kwanini tunaenda kwa wanaume tukiwa hedhi

Hiyo siku niliyotoka kwake sikuwai kurudi tena na mahusiano yaliishia getini kwake
 

Kwani church boy ni watu gani… siku hizi ni utapeli tu
 
Pole Sana Ila wewe ndio umepoteza yeye anadunda tu na maisha yake. Kama kweli umemsahau usinge mkumbuka kumuanzishia thread hapa.
 
Kweli maisha haya basi tu. Yani mrembo masai dada super model ngoja niishie hapa ndo mshikaji akakutesa hivi. Nakumbuka ulivyokuwa unawaka ile ile zama zile. sijui bado unawaka vile maana imekuwa zaidi ya miaka 8 sijakuona.
 
Watu wa kununanuna ukiwapa attention umekwisha, wao wanaweza kulia mioyoni mwao ila wewe kama huwezi kukereketwa kimoyomoyo utamlilia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…