Ewe unaeteseka na mapenzi amini katika muda! Muda utakuponya na kukubadilishia kila kitu

Wanawake wote wa JFS mna historia zilizojificha.

Unaweza kudhani Mwanaum3 ni mbaya kumbe shida iko kwako kutokana na matarajio makubwa uliyojiwekea. Sasa ukikuta huyapati ndio hapo unaanza kuona wanaume ni Mbwa
Upo sawa
 
Sahihu
Uwezi kaa tu kwa kochi ukasema kila kitu kitakuja
 
Kilakitu ni riziki hata upambane vip kama hakina kheri kwako hakuna hayo mapambano Yako hayana ushindii wa kudumu
Otherwise utokee muujiza

Sijasema hayaumizi au hatuumi ila kudumu kwenye maumivu hakuna anaekuonea huruma hayo ni mateso Yako mwenyewe
 
Kuna kitu nimejifunza katika maisha ya ndoa ndoa nyingi zikisumbua hasa wanaume wakisumbua inafika sehemu mwanamke ana move on na anakuwa na nguvu ya kutafuta pesa sana naangalia ma single mother wenye akili.zao wapo vizuri sana
 
Ubaya wa maumivu ya mapenzi unakua unaumia kimya kimya hata washkaji wakikuuliza unakaza lakini ikifika jioni umepoa mwenyewe room sasa...
🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli ulinyooshwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…