Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
- Thread starter
-
- #21
jF ina maelfu ya wachangiaji kutoka mikoa wilaya mitaa vitongoji na jamii mbalimbali ndani na nje ya nchi. ukiona unalazimika kuitetea jamii yako ujue ni muda sahihi wa kujitafakari.lengo ni kutuchafua wakurya huko kwingine umepita tu
acha uoga. wewe oa tu
nyinyi ndo wasomi mizigoMleta mada ulitumia sample size gani kufanya utafiti wako kwa wanawake wa makabila uliotaja na kudraw hiyo conclusion yako?
Stop generalizing.
Wewe ndo mpumbavu zaidi, unakuja na kautafiti kako uchwara unataka kutulazimisha tuamini hizi pumba zako.nyinyi ndo wasomi mizigo
kwa jamii zenu maana mnazoa tu kila kitu kama dodoki
Sahihi, na wataacha kuja kujiliza humu.Kuepuka mambo mengi. Kila mtu afunge ndoa na kabila lake.
Mkuu hebu jazilizia tunyama nyama kidogo kwenye hii komenti yako!Wapo Wanyaki aisee hawa hapana hata bure sitaki
ni sahihi ila pia watu wanaweza kupeana muda wa kutosha kabla ya kuamua kuwa pamoja.Kuepuka mambo mengi. Kila mtu afunge ndoa na kabila lake.
izi akili za kijinga kabisa za kuvukia barabara na kukwepa bodabodaWewe ndo mpumbavu zaidi, unakuja na kautafiti kako uchwara unataka kutulazimisha tuamini hizi pumba zako.
Watu wanaoa na watazidi kuoa Kwenye makabila unayokataza.
Wewe najua ulipigwa matukio mazito mazito na wanawake kutoka Kwenye hizo kabila ndo maana umekuja huku kuzisemea mbovu.
Ubaya/Uzuri ni kwamba mabadiliko ya jamii siyo kitendo cha kupiga kope bali ni jitihada za pole pole zinazohitaji uwekezaji katika elimu na mabadiliko ya falsafa ya jamii pamoja na mitazamo yake. Ni kitendo cha polepole chenye kuchukua vizazi kadhaa.jF ina maelfu ya wachangiaji kutoka mikoa wilaya mitaa vitongoji na jamii mbalimbali ndani na nje ya nchi. ukiona unalazimika kuitetea jamii yako ujue ni muda sahihi wa kujitafakari.
Mimi ni mjaluo nimekulia zaidi dar lakini kila mwaka lazima nirudi Buturi kuwajulia hali kwaiyo nazijua sifa za wajaluo na wakurya. Kwa upande wa wanawake hao hawawezi kujishusha ukiliamsha dude na yeye analiamsha hii lazima ilete shida maana kwenye ndoa mwanamke anatakiwa kuwa mnyenyekevu lakini upande wa wanaume ni wapenda haki na watu poa sana ukiishi na sisi kistaarabu ila ukituzingua ngumi mkononi. Mume abaki kwenye nafasi yake na mke abaki kwenye nafasi yake ndoa itadumu lakini kama mdada anajijua ana ujeuri au elements za kiferminist basi asijichanganye kuolewa na mjaluo au mkurya.Kwa kina mura - wakurya na wenzao wajaluo (uko ubabe vurugu na utemi mwingi kwa pande zote wanaume na wanawake ndo maisha ya kawaida, apa muda wowote kinawaka. kama wew hujazoea mazingira ya vurugu tafrani na mtifuano hapa hapakufai)
Do you think I'm going to waste my time arguing with you over stupid things?izi akili za kijinga kabisa za kuvukia barabara na kukwepa bodaboda
Huo ukorofi kwamba anafika tu sehemu na kuanza kurusha ngumi au anachokozwa?Wanawake wa kikurya na kijaluo si wakorofi. Ni Ma-sweetheart.
Wanaume ndiyo wakorofi, ngumi jiwe.
Hao wanaume wakorofi ni matokeo ya malezi ya kikorofi toka kwa mama zao.Wanawake wa kikurya na kijaluo si wakorofi. Ni Ma-sweetheart.
Wanaume ndiyo wakorofi, ngumi jiwe.
Vp dada kabila lako limetajwa nini?ungeonja watatu watatu kwenye kila kabila uliloorodhesha hapo,,sasa wewe umeonja mmoja mmoja tu,,unakuja kuleta uzi wasiolewe, kabila moja tabia tofauti.
Wana bipolar yaani uwezo mdogo wa kufikiri shida ya afya ya akili so wapo too emotional wakiguswa hawana uwezo wa kuhimili changamoto hii utokana na asili pia effect ya uric acid itokanayo na matumizi makubwa sana ya nyama nyekundu.Huo ukorofi kwamba anafika tu sehemu na kuanza kurusha ngumi au anachokozwa?
Hapana,, sijaona wabena hapo mkuuVp dada kabila lako limetajwa nini?
Asili ina nguvu ingia kwenye ndoa ndo utaelewaPeople are slaves of their own experience,
Wachaga wameoa wakurya, wajaluo, and vice versa, Wazarsmo, wameoa, wahaya, wachaga and vice versa,
Ni, ujinga ku generrize kila kitu, stereo typing doesn't work and apply on Generation z, hayo Mambo ya ku ogopa wahaya eti ni Malaya, au, wachaga watakuua wachukue Mali, au, wasukuma hawana table manners yalikuwa, ya enzi, za Giza na wahenga