Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
- Thread starter
- #81
sasa kama hawana shida kwann unasema wanahitaji mwanaume imara. na uo uimara wa mwanaume ni kitu gani hasa?Mkuu, wanawake wa kijaluo na kikurya si wakorofi. Ni watiifu tu ila wanahitaji mwanaume uwe imara.
Uwe na msimamo na uchape kazi. Otherwise wanakuona fala.
Kuhusu wajita, wanaongea sana..mdomo mwingi.
So kama huwezi kelele, kaa mbali nao.