Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukioa kule Moshi, pande za kibosho ndio balaa kabisa. Ukikaa nao kifala wanakuua kabisa.Kama wewe sio mtu wa pande hizo, acha kabisa mawazo ya kuoa huko:
Kwa kina Mura - Wakurya na wenzao Wajaluo (huko kuna ubabe, vurugu, na utemi mwingi kwa pande zote, wanaume na wanawake, ndiyo maisha ya kawaida. Hapa muda wowote kinawaka. Kama hujazoea mazingira ya vurugu, tafrani, na mtifuano, hapa hapakufai).
Wagogo wa Dodoma pamoja na jamii za ukanda wa pwani - Wazaramo, Wandengereko, Wabondei - sehemu kubwa ya maisha yao ni starehe na uvivu. Hawapendi mshikemshike wa kujishughulisha. Ni watu wa kuridhika haraka na hawana kiu ya kuwa na maisha bora. Hatuwalaumu bali tunawaelezea jinsi walivyo.
Waha wa Kigoma, Wandali wa Ileje, Wanyamwanga, na wenzao Wanyiha pande za Mbozi, mkoa wa Songwe - huko hataria. Hapa ni nyumbani pa mambo ya sangoma a.k.a shirki a.k.a ulozi na mengine kama hayo. Kwa hiyo, chaguo ni lako.
Wapare, Wameru wa Arusha, na wenzao wa Kichagga - huko sina haja ya kurudia maana habari zao zimejaa lukuki, uchague mwenyewe tu kuzifuatilia au la.
Usiseme hatukukwambia.
Lengo la uzi sio kuchafuana bali ni kuelezana ukweli mtu mwenyewe aamue na Mola wake.
Huu ni mtazamo wa ujumla wa jamii kwa watu hawa. Ila tabia ya mtu mmoja mmoja inaweza kuwa tofauti.
Sosi ni nyuzi mbalimbali zilizoletwa hapa JF.
Ukifikia geto kwa shoga yako ndani ya miaka miwili utakua mdangaji mashuhuri especialy kama sura na chura vipo.Khaah jamani 🤣🤣🤣na nilitaka niende dasilamu
[emoji1787]embu mwaga apa tabia zenu tuwajue nanyieHahahaha,,nipo hapa nawawakilisha
basi nimepona,, coz sina vyote hivyoUkifikia geto kwa shoga yako ndani ya miaka miwili utakua mdangaji mashuhuri especialy kama sura na chura vipo.
Tumekomaa vigimbi kwa milima mikali tunayopanda kila siku tukienda shambani[emoji1787]embu mwaga apa tabia zenu tuwajue nanyie
Kuna wajinga pia wamezeeka, sio kila mzee ana busaraKizazi hiki kwa kubishana na wazee Hamjambo! Ila kenge kusikia kwake ni mpaka atoke damu puani.
Bongo tuna ujinga wa kutaka kushindana maisha ya shida. Kuna kaujinga fulani hivi kapo akilini kwamba kupata shida ni stage ya lazima kwenye maisha. Unakuta mkubwa ana uwezo wa kumuinua mdogo ake lakini anamuacha tu ataabike akiamini ndio stage ya lazima kwenye maisha au boss anaweza kuwalipa vizuri interns wake lakini anawapa tu malipo madogo akiamini interns lazima ale msoto kwanza kabla ya kupata ajira.Kwamba kuna binadamu anayetaka ''maisha ya stress''?
Andiko lako kwanini lisiwe kinyume chake?
-Kaveli-
Embu tuone picha yakobasi nimepona,, coz sina vyote hivyo
NaWanawake wa kikurya na kijaluo si wakorofi. Ni Ma-sweetheart.
Wanaume ndiyo wakorofi, ngumi jiwe.
Mkuu hebu fafanua vizuri kuhusu hili, kiukweli nina vested interests.Mkuu umesahau wajita wa mara huko.Hawa nao ni wataalamu wa ulozi.
Si kweli.Hao wanaume wakorofi ni matokeo ya malezi ya kikorofi toka kwa mama zao.
So wanawake wanakwepaje cheo hiki cha ukorofi
Haahaa na mnapenda nguo ready-made za dukaniTumekomaa vigimbi kwa milima mikali tunayopanda kila siku tukienda shambani
Mpaka umchokoze. Lakini sometimes ni ubabe tu.Huo ukorofi kwamba anafika tu sehemu na kuanza kurusha ngumi au anachokozwa?
Utaki kuwasemea dada zetu,kumanishaa jamii inawajua zaidi kuliko wenginee🏃Wapare, Wameru wa Arusha, na wenzao wa Kichagga - huko sina haja ya kurudia maana habari zao zimejaa lukuki, uchague mwenyewe tu kuzifuatilia au la.
Mkuu, wanawake wa kijaluo na kikurya si wakorofi. Ni watiifu tu ila wanahitaji mwanaume uwe imara.Na
Mkuu hebu fafanua vizuri kuhusu hili, kiukweli nina vested interests.
Hapa umenikumbusha yule jamaa mzitomzito wa kutoka pande izo aliyedai Kafulila ni tumbiri[emoji38]Mpaka umchokoze. Lakini sometimes ni ubabe tu.
Ushafika kwenye madisco ya Tarime au Rorya?
mkuu tutajaza seva za jF bure.Utaki kuwasemea dada zetu,kumanishaa jamii inawajua zaidi kuliko wenginee[emoji125]
Nshazionaa mada zao nyingi sana afsaa 😂mkuu tutajaza seva za jF bure.
kuna mabandiko mengi humu yameelezea hizo jamii unaweza kutafuta tu kwa wkt wako ukapata kila kitu
Mimi ni mjaluo sio mkorofi ingawa nimekulia dar lakini naendaga kijijini mara kwa mara. Wakurya na wajaluo wwnzangu nawajua ni wastaarabu na wapenda haki ukicheza ndani ya izo tabia zao mbili utaishi nao kwa amani kabisaMpaka umchokoze. Lakini sometimes ni ubabe tu.
Ushafika kwenye madisco ya Tarime au Rorya?