Ewe unayetaka ndoa, ukitaka maisha ya stress na mshikemshike oa huku

Ewe unayetaka ndoa, ukitaka maisha ya stress na mshikemshike oa huku

Mkuu, wanawake wa kijaluo na kikurya si wakorofi. Ni watiifu tu ila wanahitaji mwanaume uwe imara.
Uwe na msimamo na uchape kazi. Otherwise wanakuona fala.

Kuhusu wajita, wanaongea sana..mdomo mwingi.
So kama huwezi kelele, kaa mbali nao.
sasa kama hawana shida kwann unasema wanahitaji mwanaume imara. na uo uimara wa mwanaume ni kitu gani hasa?
 
hivi sikuhizi hamna wachaga?

sijaona anaewagusia[emoji3061]

hii ni hujuma au?
 
Mkuu, wanawake wa kijaluo na kikurya si wakorofi. Ni watiifu tu ila wanahitaji mwanaume uwe imara.
Uwe na msimamo na uchape kazi. Otherwise wanakuona fala.

Kuhusu wajita, wanaongea sana..mdomo mwingi.
So kama huwezi kelele, kaa mbali nao.
Sawa Mkuu, nashukuru, ila vipi kuhusu uchawi kwa Wajita?
 
Jamii za kanda ya ziwa zinamjenga mwanamke kua Mnyenyekevu Sana

Achana na hao wa mjini 👉Nenda kaoe Binti wa kikurya haswa utakuja kunishukuru Hapa 📌
 
Na
Mkuu hebu fafanua vizuri kuhusu hili, kiukweli nina vested interests.
Kuna Kabila huko mara linaitwa wajita. Hawa wapo wa aina mbili, waluli pamoja na wakwaya.

Hili kabila hakika wanawake wake hupenda sana mambo ya madawa madawa ya kienyeji pamoja na ushirikina. Nina experience sana na watu hawa.

Bila shaka ukisikia kuwa watu fulani wanapenda ushirikina basi hata roho na mioyo yao pia huwa sio mizuri.

Japo sio wote ila majority ni moto wa kuotea mbali.
 
Jamii za kanda ya ziwa zinamjenga mwanamke kua Mnyenyekevu Sana

Achana na hao wa mjini [emoji117]Nenda kaoe Binti wa kikurya haswa utakuja kunishukuru Hapa [emoji419]
mkuu umesoma yaloandikwa umu au umeandika tu?
 
Demu wangu wa ujana alinifukuza na panga kisa nimeenda bila mboga Wala Hela. Daah Cha ajabu anakuja situka imoo. Sasa Huwa nawaza nna ya kwenda kumleta huyo mtoto saivi miaka4 sijawahi enda hanijui simjui tunaongea Kwa simu.

Najiuliza kama binti alinichukulia panga na kunitoa nduki vipi kaka zake na baba yake si nitarudi Sina jicho Moja na sikio? Wajita mpo Hivi?
Ndo huyo huyo ambae umetoa order kabisa uking'ata shuka asiolewe?
 
[emoji23][emoji23]ukute tumevaa trak,skuna,kitenge,soksi,gauni ,mzula/bosholi,,,yaani izo zinavaliwa mara moja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]soksi za mistari ya pundamilia
 
Sawa Mkuu, nashukuru, ila vipi kuhusu uchawi kwa Wajita?
Mkuu kuhusu uchawi, mi siamini hayo mambo.
Hata hivyo, tumekuwa tukisimuliwa kwamba wajita wanapenda uchawi, hasa ule wa kutumia mamba..😄😄
Lakini sie nyumbani tulipangisha wajita na wakerewe, sikuona mauzauza yoyote na nina washkaji zangu wajita pia. Bro wao mmoja anatuhumiwa kwa ushirikina ila sijaona Cha maana cha kuthibitisha.

Hivyo nikutie moyo. Kama una demu mjita we kuwa na amani naye tu.
 
sasa kama hawana shida kwann unasema wanahitaji mwanaume imara. na uo uimara wa mwanaume ni kitu gani hasa?
Mwanaume imara ni anayejishughulisha kukuza uchumi wa familia, kuilinda dhidi ya wasioitakia mema, anayewajibika kama baba wa familia n.k kimsingi anatimiza wajibu wake wa mwanaume anayejitambua.
Hawa wanawake wetu wa Kanda ya ziwa hawawezi kukuelewa eti umeamka umenyoosha miguu kwenye jamvi unangoja mama ndiyo afanye lolote ule, jioni upo kwenye kahawa.
Hapo lazima kiwake.
 
Back
Top Bottom