Ewe unayetaka ndoa, ukitaka maisha ya stress na mshikemshike oa huku

Kwamba kuna binadamu anayetaka ''maisha ya stress''?

Andiko lako kwanini lisiwe kinyume chake?

-Kaveli-
 
Ukioa kule Moshi, pande za kibosho ndio balaa kabisa. Ukikaa nao kifala wanakuua kabisa.
 
Mkuu experience yangu kwa kukaa na Wakurya,wanawake hawana shida sana,wanaume wa kikurya ni wagomvi na wepesi kushika silaha sababu hiyo imepelekea mabinti na wake zao kuwa watiifu sana. Kuna mfumo dume mkubwa sana . Wajita ndio usiguse lakini kuna binti namjua wakijita yupo safi sana,mpole mwelewa sijawah kuwa na changamoto nae upande wa hasira katika urafiki wetu. Nadhan na tabia za mtu mmoja mmoja sio jambo la kupuuza.
 
Kwamba kuna binadamu anayetaka ''maisha ya stress''?

Andiko lako kwanini lisiwe kinyume chake?

-Kaveli-
Bongo tuna ujinga wa kutaka kushindana maisha ya shida. Kuna kaujinga fulani hivi kapo akilini kwamba kupata shida ni stage ya lazima kwenye maisha. Unakuta mkubwa ana uwezo wa kumuinua mdogo ake lakini anamuacha tu ataabike akiamini ndio stage ya lazima kwenye maisha au boss anaweza kuwalipa vizuri interns wake lakini anawapa tu malipo madogo akiamini interns lazima ale msoto kwanza kabla ya kupata ajira.
 
Hao wanaume wakorofi ni matokeo ya malezi ya kikorofi toka kwa mama zao.
So wanawake wanakwepaje cheo hiki cha ukorofi
Si kweli.
Mtoto hulelewa na jamii nzima huko ujaluoni na kwa wakurya.
Nakuhakikishia, wamama wapo cool.. Wana authoritaty kwa watoto wao ila si authoritarians kama wababa.
 
Wapare, Wameru wa Arusha, na wenzao wa Kichagga - huko sina haja ya kurudia maana habari zao zimejaa lukuki, uchague mwenyewe tu kuzifuatilia au la.
Utaki kuwasemea dada zetu,kumanishaa jamii inawajua zaidi kuliko wenginee🏃
 
Na
Mkuu hebu fafanua vizuri kuhusu hili, kiukweli nina vested interests.
Mkuu, wanawake wa kijaluo na kikurya si wakorofi. Ni watiifu tu ila wanahitaji mwanaume uwe imara.
Uwe na msimamo na uchape kazi. Otherwise wanakuona fala.

Kuhusu wajita, wanaongea sana..mdomo mwingi.
So kama huwezi kelele, kaa mbali nao.
 
Mpaka umchokoze. Lakini sometimes ni ubabe tu.
Ushafika kwenye madisco ya Tarime au Rorya?
Hapa umenikumbusha yule jamaa mzitomzito wa kutoka pande izo aliyedai Kafulila ni tumbiri[emoji38]
 
Utaki kuwasemea dada zetu,kumanishaa jamii inawajua zaidi kuliko wenginee[emoji125]
mkuu tutajaza seva za jF bure.

kuna mabandiko mengi humu yameelezea hizo jamii unaweza kutafuta tu kwa wkt wako ukapata kila kitu
 
Mpaka umchokoze. Lakini sometimes ni ubabe tu.
Ushafika kwenye madisco ya Tarime au Rorya?
Mimi ni mjaluo sio mkorofi ingawa nimekulia dar lakini naendaga kijijini mara kwa mara. Wakurya na wajaluo wwnzangu nawajua ni wastaarabu na wapenda haki ukicheza ndani ya izo tabia zao mbili utaishi nao kwa amani kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…