EWURA: Bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia Jumatano, tarehe 3 Agosti 2022

Nadhani Sasa ni wakati mzuri wa kuboresha matumizi ya gesi asilia kwenye magari ingawa na yenyewe huenda ikawa bei juu kama watumiaji watakuwa wengi.
 
Haiwezwkani kuongezeka kwa zaidi ya TZS 500, hilo napinga. Ikiongezeka kiasi hicho basi we have a very corrupt, incompetent and shambolic government that needs to be dissolved very fast.
The fact remain.....
 
Ulaya na Marekani bei imeshuka kwa week 3 mfululizo.

Mwanzoni ilikuwa $6 kwa gallon. Sahivi ilishuka mpaka $4.

Iweje Tz ndo iwe inapanda tu?
Marekani na Ulaya wanatumia live prices, sisi twatumia bei ya miezi 3 nyuma.
 
weka heading vizuri
izo bei ni kwa sidiem pekee
sisi makada hazituhusu
 
Mkuu si vita ya rusia na ukraine au kuna sababu nyingine.
 
Mkuu si vita ya rusia na ukraine au kuna sababu nyingine.
Nope ,crude 🛢 kwenye world market imeshuka bei, tatizo hapa ni taxes nyingi na udhaifu wa currency yetu against usd
 
Nope ,crude [emoji921] kwenye world market imeshuka bei, tatizo hapa ni taxes nyingi na udhaifu wa currency yetu against usd
Sioni hiyo weakness unayoisema kwa mda mfupi huu, may tu hapo ilikuwa $1 = tzs2324, leo August ipo tzs2337. Hiyo ndio weakness unayoisemea? Anyway nyie wachumi mnajua, japo kuna kipindi ilishuka hasi tzs2350 na mafuta hayakupanda.
 
Makamba mnamuonea bure.

Kuanzia juu mpaka chini kumeoza.

Huezi jiamulia kupandisha bei na serikali nzima ikuangalie tu.
 
Makamba mnamuonea bure.

Kuanzia juu mpaka chini kumeoza.

Huezi jiamulia kupandisha bei na serikali nzima ikuangalie tu.
 
Marekani na Ulaya wanatumia live prices, sisi twatumia bei ya miezi 3 nyuma.
Miezi mitatu mbele hutapewa bei ya mafuta ya sasa.

Ikipanda miezi mitatu mbele, haitapanda.
 
Ngoja aje yule 'msambaa' muone atakavyoshuka na uongo wake! 🤣
Ila viongozi wa awamu hii subirini 2025 kamwe hamtaona kura zetu NG'O
 
Sioni hiyo weakness unayoisema kwa mda mfupi huu, may tu hapo ilikuwa $1 = tzs2324, leo August ipo tzs2337. Hiyo ndio weakness unayoisemea? Anyway nyie wachumi mnajua, japo kuna kipindi ilishuka hasi tzs2350 na mafuta hayakupanda.
Oil business it's in a cent of usd!,sasa jiulize why Zambia, Botswana, SA,Lesotho,Swaziland, Mozambique zimeshusha bei ya mafuta kuanzia Wednesday?
 
Huyu mama tunakoelekea ananitafuta lawama tu
 
Makamba mnamuonea bure.

Kuanzia juu mpaka chini kumeoza.

Huezi jiamulia kupandisha bei na serikali nzima ikuangalie tu.
Ni kweli lakini kama waziri mwenye wizara lazima uwajibike nakubaliana na wewe ni uamuzi wa wengi lakini ni kazi yake kuja na mawazo mbadala ndio maana ameteuliewa kuwa waziri mwenye dhamana.
 
Ukipita njia ya Mbezi-Kinyerezi kuna filling stations(vituo vya kujaza mafuta)vinaoteshwa kila siku. Naona biashara ya mafuta inashamiri sana, hawa jamaa wanapata super profit yani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…