EWURA: Bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia Jumatano, tarehe 3 Agosti 2022

Nadhani Sasa ni wakati mzuri wa kuboresha matumizi ya gesi asilia kwenye magari ingawa na yenyewe huenda ikawa bei juu kama watumiaji watakuwa wengi.
 
Haiwezwkani kuongezeka kwa zaidi ya TZS 500, hilo napinga. Ikiongezeka kiasi hicho basi we have a very corrupt, incompetent and shambolic government that needs to be dissolved very fast.
The fact remain.....
 
Ulaya na Marekani bei imeshuka kwa week 3 mfululizo.

Mwanzoni ilikuwa $6 kwa gallon. Sahivi ilishuka mpaka $4.

Iweje Tz ndo iwe inapanda tu?
Marekani na Ulaya wanatumia live prices, sisi twatumia bei ya miezi 3 nyuma.
 
weka heading vizuri
izo bei ni kwa sidiem pekee
sisi makada hazituhusu
 
Watanzania ni mahodari wa kulalama kwenye key boards, crude oil [emoji921] imeshuka bei kwa zaidi ya 8usd per barrel (106usd),bei ya mafuta ilitakiwa ISHUKE ,nini kimepandisha bei juu?,simple ni thamani ya shs yetu kuwa chini(refer mjadala wa juzi kati kati ya ZWK vs TSHS)na kodi nyingi !
Mkuu si vita ya rusia na ukraine au kuna sababu nyingine.
 
Nope ,crude 🛢 kwenye world market imeshuka bei, tatizo hapa ni taxes nyingi na udhaifu wa currency yetu against usd
 
Nope ,crude [emoji921] kwenye world market imeshuka bei, tatizo hapa ni taxes nyingi na udhaifu wa currency yetu against usd
Sioni hiyo weakness unayoisema kwa mda mfupi huu, may tu hapo ilikuwa $1 = tzs2324, leo August ipo tzs2337. Hiyo ndio weakness unayoisemea? Anyway nyie wachumi mnajua, japo kuna kipindi ilishuka hasi tzs2350 na mafuta hayakupanda.
 
Rais Samia hili jambo japo karithi la EWURA na liko kisheria lakini hawa jamaa ni kama cancer nchi hii, umefika wakati tukubali mfumo wetu wa biashara ya mafuta hauna tija yanatakiwa mabadiliko makubwa sana na hasa katika huu mfumo wa bulk ununuaji wa pamoja.

Huu mfumo na uzuri wake kuwa na guarantee mafuta kuingia ila unaondoa ushindani tunapangiwa bei kama enzi za ujamaa. waje na mfumo unaoweza kuleta stability kwenye supply lakini biashara na ushindani kwa hili hakuna ushindani inaumiza mtumiaji.

Leo hii unaenda kariakoo unataka kununua bidhaa fulani unatembea kila duka ili ukitegemea utapata nafuu duka moja lakini leo hii tembea Dar nzima bei ni ileile imepangwa.

Tukubali huyu Makamba wizara imemshinda kuja na njia mbadala zile ziara zake zake za Gulf tulimwambia umapoteza muda wako hakuna wa kukupa bei ya bure bei ya mafuta ni demand and supply haipangwi kama unavyopanga EWURA hapa hakusikia leo atwambie nini alipata zaidi ya picha.

Fungua biashara wacha washindane na bei zitashuka tu kiasi sababu ushindani utakuwepo.
Makamba mnamuonea bure.

Kuanzia juu mpaka chini kumeoza.

Huezi jiamulia kupandisha bei na serikali nzima ikuangalie tu.
 
Miezi mitatu mbele hutapewa bei ya mafuta ya sasa.

Ikipanda miezi mitatu mbele, haitapanda.
 
Ngoja aje yule 'msambaa' muone atakavyoshuka na uongo wake! 🤣
Ila viongozi wa awamu hii subirini 2025 kamwe hamtaona kura zetu NG'O
 
Sioni hiyo weakness unayoisema kwa mda mfupi huu, may tu hapo ilikuwa $1 = tzs2324, leo August ipo tzs2337. Hiyo ndio weakness unayoisemea? Anyway nyie wachumi mnajua, japo kuna kipindi ilishuka hasi tzs2350 na mafuta hayakupanda.
Oil business it's in a cent of usd!,sasa jiulize why Zambia, Botswana, SA,Lesotho,Swaziland, Mozambique zimeshusha bei ya mafuta kuanzia Wednesday?
 
Makamba mnamuonea bure.

Kuanzia juu mpaka chini kumeoza.

Huezi jiamulia kupandisha bei na serikali nzima ikuangalie tu.
Ni kweli lakini kama waziri mwenye wizara lazima uwajibike nakubaliana na wewe ni uamuzi wa wengi lakini ni kazi yake kuja na mawazo mbadala ndio maana ameteuliewa kuwa waziri mwenye dhamana.
 
Ukipita njia ya Mbezi-Kinyerezi kuna filling stations(vituo vya kujaza mafuta)vinaoteshwa kila siku. Naona biashara ya mafuta inashamiri sana, hawa jamaa wanapata super profit yani.
 
Back
Top Bottom