Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
kweli yana faidaUkipita njia ya Mbezi-Kinyerezi kuna filling stations(vituo vya kujaza mafuta)vinaoteshwa kila siku. Naona biashara ya mafuta inashamiri sana, hawa jamaa wanapata super profit yani.