Ndio wao wamebariki kupanda kwa Gas tena kupitia vyombo vya Habari.Hivi Ewura hawahusiki na gesi za majumbani?
Tafuta hela wewe uache kulialia kama mbweha kwa vitu vidogo vidogo
Remember the invisible hands of the market which controls,supply of goods and demands of goods prices.sio kweli..
.
kuna vitu inakulazimu ufanye sio kwa sababu unavimudu bali ni kwa sababu ni basic need yani bila hivo maisha hayaendi.
Waje tu niwagawie.Atafutie wapi hela wakati anafukuzwa mjini anaambiwa Anachafua mji?
Usimcheke ukadhani wewe uliye na visenti kidogo vya kubadilisha mitungi ya Gess uko salama.
Tambua kwamba nguvu kazi hii ikikosa maali pakutafutia kipato kwa kufukuzwa na migambo watarudi kwako na mtagawana hicho kidogo ulichonacho.
Tumia akili kidogo...kuna vitu hata vikipanda bei bado watu wanalazimika kununua ila kwa maumivu makali.Ukiona mfanyab8ashara amepandisha bei ya kitu na bado watu wananunua tu, ujue watu wanamudu.
Watu wakishindwa kununua kwasababu ya bei maana yake, itabidi wafanyabiashara washushe bei ili mzigo uende.
Hilo ndio soko huria.
We kweli mkaruka[emoji41][emoji41]Tafuta hela wewe uache kulialia kama mbweha kwa vitu vidogo vidogo
Gesi ya mtwara ni gas asiliaGas si inachimbwa mtwara hapo sasa imepelekwa huko kwenye soko la dunia ndio ikaletwa huku au?
Nimewaza tu kwa kutumia tumbo
Gas ya Mtwara ikiisha kuchakatwa inaitwa LNG (Liquified Natural Gas) hii iliyokuwa ikijadiliwa hapa ni LPG (Liquified Petroleum Gas) inatoka huko yanakochimbwa mafuta jamii ya petroli.Gas si inachimbwa mtwara hapo sasa imepelekwa huko kwenye soko la dunia ndio ikaletwa huku au?
Nimewaza tu kwa kutumia tumbo