nG'aMBu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,055
- 3,120
Maboya pro max kabisa [emoji23][emoji23]Ila sisi Watanzania ni Maboya tuliyopitiliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maboya pro max kabisa [emoji23][emoji23]Ila sisi Watanzania ni Maboya tuliyopitiliza
Kweli?Katiba hii imemtweza mwananchi na kumpa mamlaka makubwa sana rais.
Kwa katiba hii rais anaweza kuwaua wasukuma wote na asishitakiwe popote.
Mbwehe huyu fisi maji kama wewe utakuta unakula bado kwa baba yako.Tafuta hela wewe uache kulialia kama mbweha kwa vitu vidogo vidogo
Mama amefungua nchi... wacha tufaidi matunda
Bure kabisa kwa hiyo chakula(basic need) kinapikwa na nini au wewe ni sholo bwenzi mwendo wa matunda?
Suala la kupanda kwa gesi halina uhusiano wowote na katiba
Kipaumbele ni maza talk with your children. Akina steve washadaka mchongo wamekuwa watu wazito.C mnaambiwa kuwa kipaumbele ni kuboresha maisha ndio haya????
Gas ya Mtwara inapelekwa wapiMamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi
Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini zipandishe bei na kwa kiwango gani
---
Watanzania aliyetuloga sijui ni nani
Hawa jamaa wanaamua kutufanya wanavyotaka na hatuna la kuwafanya
Tozo, mafuta juu, gas juu maji na umeme wa kuungaunga
Machinga ndiyo kama vile wametiwa hasara bila kujali
Kwa kifupi tu gas ya 22000 itauzwa 24000
Na ya 53000 itauzwa 58000
Nadhani hii imeanza leo au itaanza kesho kwa mitungi ya oryx
Wananchi tupo tu tunaona ewala
Kuna wakati najilaumu
Ukitaka kumjua mtanzania vizuri lete habari ya yanga au simba au watu waonewe katika nyanja hiyo ndiyo utajua hujui lakini kwenye habari za msingi zinazohusu maisha moja kwa moja hakuna anayejali
AmenAmen .... Walaaniwe kweli kweli mbwa hawa.
vidogo kwako labda kulingana na kipato chako,,ila ni kikubwa sana wa watanzania wengTafuta hela wewe uache kulialia kama mbweha kwa vitu vidogo vidogo
inaenda kwa wenye nayoGas ya Mtwara inapelekwa wapi
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi
Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini zipandishe bei na kwa kiwango gani
---
Watanzania aliyetuloga sijui ni nani
Hawa jamaa wanaamua kutufanya wanavyotaka na hatuna la kuwafanya
Tozo, mafuta juu, gas juu maji na umeme wa kuungaunga
Machinga ndiyo kama vile wametiwa hasara bila kujali
Kwa kifupi tu gas ya 22000 itauzwa 24000
Na ya 53000 itauzwa 58000
Nadhani hii imeanza leo au itaanza kesho kwa mitungi ya oryx
Wananchi tupo tu tunaona ewala
Kuna wakati najilaumu
Ukitaka kumjua mtanzania vizuri lete habari ya yanga au simba au watu waonewe katika nyanja hiyo ndiyo utajua hujui lakini kwenye habari za msingi zinazohusu maisha moja kwa moja hakuna anayejali
Jibu la weredi na ufundi wa hali ya juu lisiloumiza kwa mbumbumbu lakini tusi zito na lenye kufedhehesha kwa mwerevu.Sina cha kushangaa hapa
Wewe pia ni binadamu na dunia ina makundi yote ya binadamu
Kiongozi gani nchi hii anayeumizwa na maisha ya wananchi wake?!!sana sana kukusaidia watakuja wakuambie hatuna jinsi ya kufanya kwani huko kwenye soko la dunia bei imepanda kutokana na covid 19!!basi wamemaliza!!!kwani ndio chaka lao la kujifichia , sijui wengine huna hizo bidhaa wanazinunua kwenye soko la kitongoji?!!toka enzi za waziri kalemani alifanya nini kwenye upandaji wagesi??tatizo ni hao hao unao walilia wakusaidie wakati ndio wanaopandisha tozo kila leo, kwenye bidhaa hiyo unafikiria mfanyabiashara atafanya nini??na ndio maana mwisho wa siku utawasikia wanatoa matamko tu ambayo hayasaidii chochote!!!na kwenye mambo kama haya ya msingi nashangaa sana kutosikia walau hata kauli za viongozi wa juu!!Mfano mdogo ni gesi ujazo wa 14-15 volume tulikiwa tunabadili kwa bei 20,000/= mpaka 21,000/=kwa wakazi wa Dar lakini jana nimebadili kwa 24,000/=. Hapa serkali inatakiwa iweke mfumo wa kuregulate bei ya gesi ili kupromote matumizi ya gesi kwa sababu watu wengi wataona ni mzigo mkubwa sana! Mfano hata mtungi mkubwa wa kati tulikuwa tunabadili kwa 55,000/= mpaka 58,000/= kwa wakazi wa Dar sasa ni 62,000/= mpaka 65,000/= .
Kusema kweli ili serkali iweze kutunza mazingira kwenye gesi ndo eneo pekee inaweza kupunguza matumizi ya mkaa na kuepukana na uharibifu wa mazingira unaopelekea upungufu wa mvua na ongezeko la joto!
Waziri wa nishati tunakuomba ulipambanie hilo tunajua uko kwenye changamoto nyingi ila unapaswa kusimamia hili kwa umahili mkubwa!
Asanteh!