Ewura: Bei ya gesi ya kupikia imepanda kwa kati ya Tsh 2000 hadi 5000 kutokana na kupanda kwenye soko la dunia

Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi

Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini zipandishe bei na kwa kiwango gani

---
Watanzania aliyetuloga sijui ni nani

Hawa jamaa wanaamua kutufanya wanavyotaka na hatuna la kuwafanya

Tozo, mafuta juu, gas juu maji na umeme wa kuungaunga

Machinga ndiyo kama vile wametiwa hasara bila kujali

Kwa kifupi tu gas ya 22000 itauzwa 24000

Na ya 53000 itauzwa 58000

Nadhani hii imeanza leo au itaanza kesho kwa mitungi ya oryx

Wananchi tupo tu tunaona ewala

Kuna wakati najilaumu

Ukitaka kumjua mtanzania vizuri lete habari ya yanga au simba au watu waonewe katika nyanja hiyo ndiyo utajua hujui lakini kwenye habari za msingi zinazohusu maisha moja kwa moja hakuna anayejali
Gas ya Mtwara inapelekwa wapi
 
FFXEYzDWQAQxXiy
 
Sina cha kushangaa hapa

Wewe pia ni binadamu na dunia ina makundi yote ya binadamu
Jibu la weredi na ufundi wa hali ya juu lisiloumiza kwa mbumbumbu lakini tusi zito na lenye kufedhehesha kwa mwerevu.

Heko mwandishi kwa akili hii kubwa uliyotumia.
 
Mfano mdogo ni gesi ujazo wa 14-15 volume tulikiwa tunabadili kwa bei 20,000/= mpaka 21,000/=kwa wakazi wa Dar lakini jana nimebadili kwa 24,000/=. Hapa serkali inatakiwa iweke mfumo wa kuregulate bei ya gesi ili kupromote matumizi ya gesi kwa sababu watu wengi wataona ni mzigo mkubwa sana! Mfano hata mtungi mkubwa wa kati tulikuwa tunabadili kwa 55,000/= mpaka 58,000/= kwa wakazi wa Dar sasa ni 62,000/= mpaka 65,000/= .
Kusema kweli ili serkali iweze kutunza mazingira kwenye gesi ndo eneo pekee inaweza kupunguza matumizi ya mkaa na kuepukana na uharibifu wa mazingira unaopelekea upungufu wa mvua na ongezeko la joto!
Waziri wa nishati tunakuomba ulipambanie hilo tunajua uko kwenye changamoto nyingi ila unapaswa kusimamia hili kwa umahili mkubwa!
Asanteh!
 
Kiongozi gani nchi hii anayeumizwa na maisha ya wananchi wake?!!sana sana kukusaidia watakuja wakuambie hatuna jinsi ya kufanya kwani huko kwenye soko la dunia bei imepanda kutokana na covid 19!!basi wamemaliza!!!kwani ndio chaka lao la kujifichia , sijui wengine huna hizo bidhaa wanazinunua kwenye soko la kitongoji?!!toka enzi za waziri kalemani alifanya nini kwenye upandaji wagesi??tatizo ni hao hao unao walilia wakusaidie wakati ndio wanaopandisha tozo kila leo, kwenye bidhaa hiyo unafikiria mfanyabiashara atafanya nini??na ndio maana mwisho wa siku utawasikia wanatoa matamko tu ambayo hayasaidii chochote!!!na kwenye mambo kama haya ya msingi nashangaa sana kutosikia walau hata kauli za viongozi wa juu!!
 
Hiyo ndio maana halisi ya uchumi kutuchumu..😘
 
Back
Top Bottom