EWURA imetangaza bei mpya za Mafuta, Petroli, Dizeli, Mafuta ya Taa yashuka

CCM ndio Tumaini la watanzania, Hakuna wa kuitikisa Wala kuiyumbisha hapa nchini
 
Ilitakiwa yashuke zaidi, soko la dunia ni 90usd per barrel (crude 🛢) na pia hii local currency yetu tuipandikize kwa ZWK ili nasi tununue Lita moja kwa 23tshs!
 
Hongera serikali inayojali na kusikiza watu wake,
Mwezi ujao ishuke zaidi,
Well done big up
 
CCM ndio Tumaini la watanzania, Hakuna wa kuitikisa Wala kuiyumbisha hapa nchini
Ona hili bichwa jinga! Acha kuota kabla hujalala! Jifunze kujibu hoja iliyopo mezani na sio unajiongelesha peke Yako! Ccm Ina maajabu Gani zaidi ya tozo? Kalale uote yapasayo!
 
Hakuna cha ruzuku hapo ni uhuni juu ya uhuni ndani ya Tanzania.
 
Watanzania tuko tayari. Punda amechoka, tatizo ni nani anayetufaa? Kwa mtazamo wangu hayupo. Ndugu zetu wakenya walimpigia Ruto kura kwa wingi sana sio kwa sababu wanampenda ila ni kwa kuwa wamechoka. Wanatafuta amani ya nafsi zao. Ndio maana ruto alionekana kama mwokozi.

Huku kwetu hata chadema hawako tayari.
 
Ona hili bichwa jinga! Acha kuota kabla hujalala! Jifunze kujibu hoja iliyopo mezani na sio unajiongelesha peke Yako! Ccm Ina maajabu Gani zaidi ya tozo? Kalale uote yapasayo!
Kwani umamlazimisha kuwa chadema? Chama kisicho na dira? CCM inachohitaji ni kiongozi mwenye kusimamia haki na mwenye kujali wananchi,otherwise ni binge LA chama kwa hapa afrika.
 

hapana hakuna suala la chama kipya.

hapa ni wananchi kukomaa mabarabarani liundwe baraza la muda kuongoza nchi ambalo litapendekezwa na wananchi na hilo baraza ndilo lisimamie katiba mpya na wananchi tudemand Chama kinachoitwa CCM kipigwe marufuku na watu fulani fulani waburuzwe mahakamani kwa kuleta madhira na umasikini kwa watu.

Siasa ziwe na mwanzo mpya wakipigwa marufuku wanasiasa woote waliokuwa kwenye nyadhifa na kwenye mfumo wa chama tawala CCM na UVCCM, Wananchi mbalimbali wapewe uwanja wajitokeze tuje tuijenge Tanzania mpya.
 
kesho naandika bango la kumshuru Mh.Rais kwa kushusha bei ya mafuta
 
Wacha tuone mikoani Bei itaakaje niwai Moro chapu kutengeneza kiriku yangu mnk niilipaki nisikilizie Bei

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ndoto za njaa hizo
 
Hakuna cha ruzuku, futa limeshuka duniani. Serikali hawataki kuamini kua mwisho wa kutuibia kupitia mafuta umefika mwisho.

Diesel hawataki ishusha maans ikishuka tuu na bei za usafiri itabidi ishuke
Ni kweli aisee upo sahihi kabisaa!! Hawa mafala wanajua wakishusha diesel na nauli zitapungua kwasababu Mabus mengi ni ya viongozi
 
Eti mwezi julai, mbona bei zikipanda leo soko la Dunia basi kesho yake tu huku mnapandisha? Mafuta bado yapo juu sana, kwa mwenendo wa bei ya soko la Dunia, yanapaswa tuuziwe kwa 2,200/= kwa litre
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…